Hii Iko sawa Mke kunisalimia shikamoo?

Hii Iko sawa Mke kunisalimia shikamoo?

Mke wangu huwa ananiamkia mara moja moja huwa najisikia furaha, afterall sijamzidi miaka mingi kama miwili tu
 
...mine would express that sh!tty word only when she's kidding with me. With a 5yr age gape, I still don't like formality in the bedroom, after all we are spouses..
..binafsi hata kumsalimia mtu mzima "shikamoo" ni rare sana, kwanza silipendi hilo neno, sijui hata lina maana gani.
Inakua kama ya utani flani hivi tu, mkiwa wawili
 
Maadili ya kiafrika ni sahihi, ila ukihitaji yale ya Google ndo hayo unayoyataka wewe,. Baby ndo imetubadilisha saana na kuzoea mfumo huu. Kwanini unataka muwe sawa? Pokea heshima yako mke anakupa thamani, mke ndio dira halisi ya watoto. Kwani kitu gani ukiitikia? Unasikia raaaaha mwenyewe ukiitwa baby, loool.!!
Si kweli kwamba shikamoo inamaanisha mtu anakuheshimu, wengine wanaitumia kama utamaduni wa kusalimiana. Hata kama ikitolewa cha msingi urafiki usife.
 
Kwanza hoodiii humu ndani,mimi mgen hapa jf na nafurah pia kuungana na wanajamvi woote.naomba kuchangia uzi huu kwa tulivyo fundwa hivyo ndivyo inapaswa kufanyika.itikia km hutak mwambie pia ataacha
thanks kwani wewe mke/mpenzi wako anakusalimia vipi?
 
embu we kesho asubuhi muwahi yeye. Shikamoo mke wangu kabla ye hajasema. Au hata akisema yeye we usiitikie. Nawe sema mwamkie yeye.

Alaah kwan nani hana heshima bana?
ha ha haina noma mkuu ;korboto
 
Zamani nilikuwa naamkia kila siku na anafurahi kanizidi 11 ila siku hizi labda nikikumbuka, na nikiamkia badala ya kuitikia anauliza " kwani vipi? Na Mimi namjibu vipi nini? Tunaishia kucheka kila mmoja anashika zake
 
Mi mchuchu kanizidi 10 years hata nijitahidi vipi kuacha kumsalimia najishtukia kishenzi
Nishazoea kumsalimia shkamoo na nikipotezea ananiambia haujambo hahaha so nasema sijambo shkamoo
 
Mi mchuchu kanizidi 10 years hata nijitahidi vipi kuacha kumsalimia najishtukia kishenzi
Nishazoea kumsalimia shkamoo na nikipotezea ananiambia haujambo hahaha so nasema sijambo shkamoo
Masai dada pamoja kukutaka ukanikataa umeambulia kunasa kwa kibabu huhuhuuu...! Pole zako kumbe ndege mjanja kweli unaswa na tundu bovu...!

Kisa na mkasa sina pesa ngoja kusukari kipande utalala hospital mpaka ukome..
 
Ndivyo tulivyofunzwa atiii.... Shikamoo to who ever is older than you .... Even some Zanzibarian too.. I have one of my Aunt even though they don't live in Tz... Bust still she says shikamoo to her husband until now.. And they have been married since 1998 .. They are still happily married couples, utani upo, friendships and the love stills stand strong... Thanks..

very rare sana watu wa visiwani na pwani kuamkia shikamoo zaidi ya salam alykum!...

naichukia sana shikamoo! nikiwa dar napata tabu sana... nkienda tanga kila sehemu ninayo pita ni salam alykum haijalishi mkubwa wala mdogo nakuwa very comfortable
 
Masai dada pamoja kukutaka ukanikataa umeambulia kunasa kwa kibabu huhuhuuu...! Pole zako kumbe ndege mjanja kweli unaswa na tundu bovu...!

Kisa na mkasa sina pesa ngoja kusukari kipande utalala hospital mpaka ukome..
hahahaha dua la kuku halimpati mwewe hahaha umenichekesha
he is 36 am 26 sio mbaya hata kidogo
 
hahahaha dua la kuku halimpati mwewe hahaha umenichekesha
he is 36 am 26 sio mbaya hata kidogo
Ungejua kipindi kile pesa ilikuwa shida sana! Baada ya kuokota kapu la helaa na mimi sasa hivi staki over 25 nacheza na teens wa18 to 23 wabichiwabichi tu sitaki regular...
 
Ungejua kipindi kile pesa ilikuwa shida sana! Baada ya kuokota kapu la helaa na mimi sasa hivi staki over 25 nacheza na teens wa18 to 23 wabichiwabichi tu sitaki regular...
Hahaha sasa hvi una hela?
Mimi bado mbichi kuliko hao under 20 tukikutana nisipokutajia umri wala uwezi jua
Hahaha kama ela ipo wewe sema gia tunabadili angani na shikamoo nitakupa kila asubuh
 
Kama ndio kwanza umemuoa atakuwa anakuchukulia kama Baba yake au Mjomba... teh...
 
Hahaha sasa hvi una hela?
Mimi bado mbichi kuliko hao under 20 tukikutana nisipokutajia umri wala uwezi jua
Hahaha kama ela ipo wewe sema gia tunabadili angani na shikamoo nitakupa kila asubuh
Aaawaapi...! Sidanganyiki tena we komaaa na huyo under 40 ila ujue after 4yrs ujiandae na kuhudumia pressure na sukari.

Najilia form six kwa raha zangu..! Ata pesa hajui kutumia akipewa laki moja miezi miwili ajaomba tena, namlia timing ile anamaliza paper navuta kitu ndani afu ndiyo atakoma chuoni kitumbo hichoo..
 
Back
Top Bottom