Hii Iko sawa Mke kunisalimia shikamoo?

Hii Iko sawa Mke kunisalimia shikamoo?

Mi niliduwaa siku moja nipo kwa anko nasikia shangazi anamsalimia shikamoo (seriously) na mjomba anaitikia. Ni kweli kamzidi umri lakini maana ya shikamoo inakujaje sasa wakati wanalala kitanda kimoja na hakuna wasichojuana?
Hao wanaheshimiana haswaa...waache
 
Hahhaha haya bwana
Aaawaapi...! Sidanganyiki tena we komaaa na huyo under 40 ila ujue after 4yrs ujiandae na kuhudumia pressure na sukari.

Najilia form six kwa raha zangu..! Ata pesa hajui kutumia akipewa laki moja miezi miwili ajaomba tena, namlia timing ile anamaliza paper navuta kitu ndani afu ndiyo atakoma chuoni kitumbo hichoo..
 
Sasa kama nimemzidi miaka 6 then kielimu na maarifa nimemzidi...yaani mimi ndio namuongoza kwa mengi kwanini asiniamkie Shkamoo? Tena kana sauti nzuri ya kitoto...kamoo

Ila ikija wakati wa shuhuli au hata chumbani tu anakuwa mkubwa ghafla.

Mapenzi bana....
 
Hahhaha haya bwana
Kweli huyo babaako mdogo kakudhibiti zile mambo xetu za tamutamu style za mbuzi kagoma kwenda huku unapitisha kwa mbele mkono unasugua kidizaib sijapata elimu hii tangu uache kuitoa...!

Nilimfanyia form six akapiga yowe kwa utamu...
 
very rare sana watu wa visiwani na pwani kuamkia shikamoo zaidi ya salam alykum!...

naichukia sana shikamoo! nikiwa dar napata tabu sana... nkienda tanga kila sehemu ninayo pita ni salam alykum haijalishi mkubwa wala mdogo nakuwa very comfortable
Pole Dear .. Just tell them about that kuwa hupendi in nice way , na wataelewa tuu next time ... That's why I said some Zanzibarian which means not all of them.. Nilishuhudia couples wanaamkiana baada ya hiyo asalam alekhuum ...That's why I have said that.. Thanks..
 
haha nakumbuka once nikiwa high school nilikwenda kulipa Ada ya mdogo wangu Bank, nikamkuta mama mtu mzima dirishani , she was a bank teller "HABIB BANK " sijui kama bado ipo ..au .. la.. !! alinilazimisha nimuamkie "shikamoo" nilikuwa mzito sana sijazoea kabisa , niliondoka sikumuamkia lakini nilijisikia vibaya! ..

nimekulia in a house my dad wants salam alyum or G`morning alipiga marufuku shikamoo...
 
Hiyo inatokea kwa watu wazima wengi tu mkuu...yaani huku bara usipomsalimia mtu mzima kwa kusema shkamoo basi sio nidhamu. Ila mashuga mamies na mashuga dadies hawaipendi wanaona kama ni kuzeeshwa.
 
Kama mke ndiyo amekupita miaka kama saba au nane hivi utamuamkia shikamoo?
 
Back
Top Bottom