badiebey
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 5,875
- 3,117
Kanizidi 12,shkamoo ipo ya nadraHumsalimii bwa'she shikamoo? Amekuzidi miaka mingapi![]()
Kanizidi 12,shkamoo ipo ya nadraHumsalimii bwa'she shikamoo? Amekuzidi miaka mingapi![]()
Inasikitisha unavotake advantage of her innocence rather ignorance ya maisha,Aaawaapi...! Sidanganyiki tena we komaaa na huyo under 40 ila ujue after 4yrs ujiandae na kuhudumia pressure na sukari.
Najilia form six kwa raha zangu..! Ata pesa hajui kutumia akipewa laki moja miezi miwili ajaomba tena, namlia timing ile anamaliza paper navuta kitu ndani afu ndiyo atakoma chuoni kitumbo hichoo..
Adabu Na mapenzi piaKama kichwa cha habari hapo naomba je ni adabu au ndo mapenzi
Najua jinsi ya kumdhibiti wewe good newz she iz understanding kuliko ata wamama nyie mlio na brain iliyokomaa but inafuga akili changa.Inasikitisha unavotake advantage of her innocence rather ignorance ya maisha,
Akija kujitambua let's say by the tym yuko kazini hivi ndo utaona kila rangi zake
12yrs is quite a gap! Kwa tofauti hiyo ya umri lazima muwe na interests sawa, la sivyo...mmmh!!Kanizidi 12,shkamoo ipo ya nadra
'kumdhibiti'..Mara unamuona bora zaidi ya wanawake wengine,.. maamuzi ya mtoto wa form 6 na wa chuo au kazini ni sawaa??!..duh haya banaNajua jinsi ya kumdhibiti wewe good newz she iz understanding kuliko ata wamama nyie mlio na brain iliyokomaa but inafuga akili changa.
Siyo kwamba ninaye ili kumdhulumu kimapenzi anajielewa sana na ni God fear..!
Afanyi ujinga sababu anajitambua siyo kwa maana kwamba anakosa access ya kufanya uhuni, ni mzuri kwa maana ni mrembo anavuka na Ku ignore kila ushawishi wa kijinga jinga. Anajua kwanini ananiona wa maana kwake si kwasababu ya pesa bali ananihitaji zaidi ya nilichonacho.
12yrs is quite a gap! Kwa tofauti hiyo ya umri lazima muwe na interests sawa, la sivyo...mmmh!!
Nmeamini age is js a number,huwa nasahau tumepishana hivo12yrs is quite a gap! Kwa tofauti hiyo ya umri lazima muwe na interests sawa, la sivyo...mmmh!!