Kwenye civil engineering, mara nyingi wajenzi wanashauriwa kuchunguza historical background ya ajanga kama landslides na matetemeko kwenye eneo husika kabla hawajajenga. Vile vile wanashauriwa kuchunguza udongo wa eneo husika, usije kuta mtu kajengwa ilipokuwa ardhi oevu halafu baadaye madhara yanakuja kutokea bada ya miaka kadhaa.