Hii hotel iko wapi?


Excel

Excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Messages
18,874
Likes
597
Points
280
Excel

Excel

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2011
18,874 597 280
wana jukwaa.. hebu cheka huku ukitafakari! soma kisa hiki!

Jamaa flani alikuwa anatembea mtaani mchana huku akiwa na njaa kaliiii!

Mara akaona bango la restaurant moja limeandikwa; 'KU-LA KADRI YA UWEZO WAKO, BILI YAKO ITALIPWA NA WAJUKUU ZAKO!'

Jamaa akafurahi kweli....akazama ndani na kuagiza chakula cha kila aina kwa vurugu!

Baada ya kula na kushiba ile kisawasawa, akashangaa kuletewa bili moja ya hatari akitakiwa ailipe..

Jamaa akamuuliza waiter, "Kwani lile bango pale nje hujasoma?"

Waiter akajibu, "Nimesoma, lakini hii bili si yako...ni ya Babu yako!"hii hotel iko wapi?
 
Chizi Fureshi

Chizi Fureshi

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Messages
1,710
Likes
141
Points
160
Chizi Fureshi

Chizi Fureshi

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2010
1,710 141 160
Weka picha na source tafadhali....He he heee
 

Forum statistics

Threads 1,251,598
Members 481,811
Posts 29,777,513