Pac the Don JF-Expert Member Joined Feb 17, 2021 Posts 7,231 Reaction score 8,671 Mar 20, 2023 #1 Maana hapa Soudy katupa kombora katikati ya watunga sheria na wale waliopinga watoto kurudi shulen!!!ππππ
Maana hapa Soudy katupa kombora katikati ya watunga sheria na wale waliopinga watoto kurudi shulen!!!ππππ
Vesuvius JF-Expert Member Joined Jun 27, 2021 Posts 3,303 Reaction score 6,509 Mar 20, 2023 #2 Wanasiasa ni viumbe wanafiki, husema wasichoamini