Maadamu maisha yapo hizi kesi nazo zitaendelea kuwepo.
Mkuu it means maisha yakiisha na kesii zitakwisha au siyo?
na huyo jamaa yako aliaga anakwenda wapi?au ni wale wale:A S 39:
mama yako ni mwanamme?
huyo mwanamke ndo amelaaniwa,not us watch your tongue!!!!!!!!!!!!!!