Hii hatari, wanawake nimewanyanyulia mikono

Hii hatari, wanawake nimewanyanyulia mikono

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,933
Reaction score
11,865
Kuna jamaa kamfuma demu wake wa chuo club muda huu anajirusha na jamaa mwingine, demu aliaga anaenda nyumbani kwao kula pasaka na wazazi wake ambao wako mkoa mwingine lakini leo(mida hii) jamaa kamkuta ana mwingine hivi hawa wanawake wamelaaniwa?
 
huyo mwanamke ndo amelaaniwa,not us watch your tongue!!!!!!!!!!!!!!
 
na huyo jamaa yako aliaga anakwenda wapi?au ni wale wale:A S 39:
 
Si useme tu ni wewe mwenyewe yamekukuta?????? Kama uko chuo, jua mapenzi ya chuoni ni kudanganyana. Mwenzako lazima awe na mtu nje ya chuo, ambaye ndiye buzi la kuchunwa. Kosa lako ni kufuatilia mtu ambaye tayari amekwambia anatoka. Hata kama mke wa ndani hachunguzwi. "UKICHUNGUZA ALACHO NYUKI, HUWEZI ONJA ASALI"
 
Hizo ndizo athari za kizazi cha digital.Kama mke wa mtu anamegwa tena na majamaa kibao,itakuwaje demu?
 
Narudia tena hapa hakuna k... ya peke yako,kutokujua kunatuepusha na kutufunga tusijue kinachoendelea upande wa poli.
 
na huyo jamaa yako aliaga anakwenda wapi?au ni wale wale:A S 39:

Jamaa yangu ni bachelor tulikuwa tumetoka mkuu dah yule demu kaharibu upepo imebidi turudi nyumbani.
 
hamna papuchi yako peke yako....mwendo wakushare tuu hapa
 
..mwenyewe akijua utaasuuutwaa ad nakuonea huruma..
 
Back
Top Bottom