Hii hatari, wanawake nimewanyanyulia mikono

Hii hatari, wanawake nimewanyanyulia mikono

Kuna jamaa kamfuma demu wake wa chuo club muda huu anajirusha na jamaa mwingine, demu aliaga anaenda nyumbani kwao kula pasaka na wazazi wake ambao wako mkoa mwingine lakini leo(mida hii) jamaa kamkuta ana mwingine hivi hawa wanawake wamelaaniwa?

hapo tunaita wamefumana kama club ni sehemu ambayo hakutegemea kumkuta mpz wake kwa nini yeye alienda hayo no madhara ya mijanaume ya kiafrika inataka ifanye kila aina ya mambo ya ajabu ila yenyewe haitaki ifanyiwe shenzy zenu na huu mwaka wenu kulaleki zenu.
 
Kuna jamaa kamfuma demu wake wa chuo club muda huu anajirusha na jamaa mwingine, demu aliaga anaenda nyumbani kwao kula pasaka na wazazi wake ambao wako mkoa mwingine lakini leo(mida hii) jamaa kamkuta ana mwingine hivi hawa wanawake wamelaaniwa?

Suala la uaminifu limeendelea kupungua kati ya wapenzi na wanandoa. Tunahitaji neema ya Mungu kuturudishia utu na heshima kwa wapenzi wetu.
 
Back
Top Bottom