Hii hapana........pliz gfsonwin

Kama ni hivyo hilo kanisa siendi khaaa.......au labda ni macho yangu, nimesikia Asprin mnaitana au anatamka in law (ingawa sijui kwenye ukoo kaingia lini) anaweza kunipa jibu

jamani sasa ulitaka nivae pedo ama dela kuendea kanisani? Asprin yeye ni mume wa shoga angu cacico. ndo maana na mwita shem............
 
Last edited by a moderator:
mchungaji au padri lazima nonino isimame. Gf sio vizuri kuwakwaza wapakwa mafuta wa bwana.

jamani hilo gauni lina makwazo my sister Remmy? jamani basi wengine tumeumbwa hata tukivaa magunia tunapendeza tu bana...............ushasahau dada zako wa kule milimani?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…