Ewe ujiitae UMEOKOKA NA HUNA dhambi.Hayo mamlaka ya kuita binadamu alieumbwa na Mungu 'MASHETANI' Umeyatoa wapi?? Hata hivyo najua nyie ni wasanii tu bali mnatumia jina la Mungu kutapeli watu.
Mtumishi wa mungu achafuriki wala kuchafuliwa.. unajua LUSEKELO MZEE WA UPAKO anaaishi wapi na anaendesha gari gani?
Hapa naona mimi ni kuwekana sawa tu.
Nenda Nigeria utaona utajiri wake
Mbona ya boston haujaiweka?
Wewe unayeifahamu ya Boston, ndiyo unatakiwa uiweke hapa, siyo mwingine asiyeijua, akuwekee hapa!!!
Hapa sijataja binadamu. Uongo hutoka kwa Ibilisi ambaye ndiye baba wa uongo (YOHANA 8:44; UFUNUO 12:9), na Ibilisi huyu anao pepo wengi wa uongo (1WAFALME 22:22-23), ambao kazi yao ni kuwadanganya binadamu. Pepo hawa wa uongo, wanaitwa pia mashetani au roho zidanganyazo (1TIMOTHEO 4:1).
Kama hayo unayosema na kuandika hapa ni kweli basi mimi binafsi natilia shaka huduma ya askofu Kakobe.
Mungu ni tajiri sana, kila kitu anacho, na mtumishi wake yeyote akiomba lolote atapata, leo Askofu kakobe amejenga nymba kabla ya kuwa mchungaji kisha askofu, na tangu apate ufunuo na kumtumikia Mungu wake amempa nini? na je anamtumikia huyu mungu mwenye nguvu mwenye kila kitu? je yeye amemuomba nini huyo mungu wake?
Labda pia unisaidie, kujua hili Je kuna sifa gani kwa mtumishi wa Mungu mwenyewe kuwaombea waumini wake na kupata mafanikio kutoka kwa huyo mungu ili hali yeye hana mafanikio? au ina maana yeye hana uwezo wa kuwaombea waumini/wafuasi wake wakapata mafanikio?
Pengine labda utuambie Askofu kakobe kuishi nyumba hiyo na wewe kuwa muumini wake wa miaka 25, inatufundisha nini?, au wewe umejifunza nini kutoka kwa askofu wako huyo? unaposema hana Hela wala nyumba (hivo hana mali zingine) zaidi ya hiyo nyumba unataka sisi tuelewe nini?, hapokei sadaka kanisani? au ana matumizi mabaya ya fedha za kanisa?, mtu wa anasa asiye penda maendeleo? hebu tuelezee kwa mapana
nakutakia ibada njema mlokole wa FGBF
SP
Ww sindio msemaji wake.?
Mara nyingi hawa watumishi feki wanaweka pesa zao ndani,wanachimba chini kisha wanatunza madola tu.Nadhani Kakobe atakuwa na dola bilioni 1.Msanii Gwajima atakuwa na dola bilioni 2 kwa maana yeye sadaka zote anatia kwapani,hataki hata kununua eneo ajenge.mama rwakatare atakuwa na bilioni 3,Yule mwenye bank atakuwa na bilioni 5,lusekelo nae yuko nyuma yao na anawakimbiza kwa hasira atakuwa na milioni 7.Waacheni wajinga waliwe,hawajazimishwa.
Semeni tu ukweli?fedha,dhahabu na vyote viijazavyo dunia ni mali ya bwana,hagai ngapi sijui?kwani ikisema ana vitu kadhaa kuna tatizo gani?sindivyo alivyobarikiwa kwani mtu kuwa na mali ni dhambi?
Mimi siijui hiyo nyumba ya Boston, wala sijawahi kuiona. Kifupi ni kwamba hana nyumba Boston, ni maneno ya kusikia tu. Mwambie aliyekwambia juu ya nyumba hiyo ya Boston, yeye mwenyewe aiweke hapa, ili mzizi wa fitna ukatwe!!!!
Yule namfahamu mafanikio yake anayafahamu ye binafsiMtumishi wa mungu achafuriki wala kuchafuliwa.. unajua LUSEKELO MZEE WA UPAKO anaaishi wapi na anaendesha gari gani?
Hapa naona mimi ni kuwekana sawa tu.
Wajinga ndio waliwao.