Hii hapa namba yangu.

hao watu wa type ya jamaa huyo ni wale wasoweza kuwa na ushawishi kwa proper age.its a coward style of life,to hell!!!!
 
simu imeisha chaji mtoa mada katokomea
kesho uje utupe updates imekwendaje
 
Jamaa katokomea, inawezakana mwenyewe ndiye aliyekuwa anamsaundisha huyo dent.
 
fanta baby karibu
mbona unaingia anga zetu bila kubisha hodi jukwaa lile?
fanya hivo kama bado
mtoa mada alikuwa kwa daladala bila shaka simu yake ya mchina orijinali chaji imeisha
tumemsubiri hadi sasa hajatokea
UOTE=fanta baby;5464961]upo sawa ulijuaje![/QUOTE]
 
ikeishia wapi hii movie

hao watu wa type ya jamaa huyo ni wale wasoweza kuwa na ushawishi kwa proper age.its a coward style of life,to hell!!!!

kama kuna ukweli vile!!! maana mleta uzi kapotelea.

hata CHAI CHUNGU ana afadhali alikuwa anarudi kuliko huyu Joseph Isaack.

Jamaa katokomea, inawezakana mwenyewe ndiye aliyekuwa anamsaundisha huyo dent.

Jamaa alikua anatoa move.atarudi kuimalizia.

Dent kuinama keshaubali kwani we hujui hizo

Huyu jamaa hamtakaa mmuone tena JF kwa bahati mbaya. Saa hizi anaongelea gambush... Chezeya wasukuma wewe na unoko wako... keshamalizwa habari yake...
 
Huyu jamaa hamtakaa mmuone tena JF kwa bahati mbaya. Saa hizi anaongelea gambush... Chezeya wasukuma wewe na unoko wako... keshamalizwa habari yake...

No jamaa naye kapewa kitu kidogo kaingia mitini, lile ni fataki la kimataifa mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…