Hii hapa namba yangu.

Dah hii ishu jamaa ametukatili amgempata kamanda hapo akamkabidhi ili awafuatilie hawa jamaa
 
Hili jamaa jinga! Sana linashindwa kwenda malimbe!kutafuta wa2 wazima linaangaika na hicho kitoto!
 
Jamaa kapata mlungula nini nchi kwa rushwa hii naye kapotea!
 
Vema ngoja nifanye hivyo , lakini pale stand ya magari magu kuna kituo kidogo cha polisi, sijui niwaunganishe na mchongo huo au nyinyi mnasemaje wakuu?



mkuu kumbe uko karibu na kituo cha polisi,
peleka haraka hilo fataki likakione cha moto,si linajidai lina hela acha likakutane na polisi ndo litajuta.Pale atakutana na dawati la wanawake bila shaka watamshughulikia ipasavyo.
 
Duh, huyo dent naye mbona yuko ize hivyo? Anasahau kabisa kama alikuwa anaenda shule kisa kaahidiwa simu!
 
safi sana mkuu ,ila denti kadanganywa kirahisi rahisi namna hii.

watoto wa siku hizi nao wamezidi,maadili ni zero.
Sasa sijui ndo anajua amepata kumbe amepatikana, mababu fataki nao wamezidi aaaaaaaah! hata hayaoni aibu.

 
watoto wa siku hizi nao wamezidi,maadili ni zero.
Sasa sijui ndo anajua amepata kumbe amepatikana, mababu fataki nao wamezidi aaaaaaaah! hata hayaoni aibu.
Mkuu anatamani kuwa na simu na yeye kama wazazi wanasema anataka kumuacha mke/mume kwa sababu ya kufuja pesa na huyu mtoto anaahidiwa kupata pesa, afanyeje? tunawafundisha watoto wetu kuwa maisha ni pesa na yeye anauchumi atautumia tuu. tubadili mawazo yetu tuwalinde watoto wetu.
 
Isaac, angalia nafsi yako usije jikuta mmeshea ze spoil (just kidding) any updates?
 

Fataki hilo kwa nn usilishughulikie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…