safi mkuu --- hawa ccm mimi nafurahi tu wanavotifuana to be fair 🤣, jahazi hili lilizama 2020 na kuligeuza hapa miaka kadhaa inabidi ipite. (labda watumie nguvu mkuu au nasema uongo?)Naunga mkono na mimi huwa niko against na watu wanaosema nchi ingechukuliwa na Venance , si sawa nchi ikiishaingia utawala wa kijeshi basi huwa hairudi kuwa sawa kidemokrasia.
Namuunga mkono kwenye hili la sasa January Samia kujipitisha gizani kwa mkono wa Kikwete na kuwa mgombea pekeyake kwa ule msemo wa "fomu ni moja tu"
Kuhusu kumuamini Polepole mimi ninaamini hayuko pekeyake ila ni mwanzo wa wale waliochukia Samia kujipitisha na yule mzee alipopeleka kesi mahakamani wakamfuta uanchama halafu msajili wa vyama yuko kimya.
pole sanahatimae mtando haupatikani rasmi kwangu
Huyu yuko na kundi lake na wamejipanga nilisubiri nisikie tu kitu kimoja ili niconfirm nilichofikiri mwanzo na ilikuwa ni kuhusu mama Abdul kujipitisha pekeyake kinyume na katiba yao sasa wanamkalia kooni.safi mkuu --- hawa ccm mimi nafurahi tu wanavotifuana to be fair 🤣, jahazi hili lilizama 2020 na kuligeuza hapa miaka kadhaa inabidi ipite. (labda watumie nguvu mkuu au nasema uongo?)
Hapo ulipom quote yule jamaa ni kama umetumia lugha ya mkazo na ya mshangao kuwa kwanini anataka kumsikiliza Polepole.....ndio maana nikakuambia muache mtu afanye kulingana na utashi wakeHakuna niliposema sipendi kumsikiliza mkuu wewe bado hujanielewa ila utanielewa akishamaliza kuongea, kwa sasa acha nieche uelewe km ulivyoelewa
Umeshamaliza kumsikiliza?Hapo ulipom quote yule jamaa ni kama umetumia lugha ya mkazo na ya mshangao kuwa kwanini anataka kumsikiliza Polepole.....ndio maana nikakuambia muache mtu afanye kulingana na utashi wake
Ndio na huku tena?
AhsanteLink hii ya facebook Miss_Mariaah
Naam mkuu, hapa ni kusubiri tu developing eventsHuyu yuko na kundi lake na wamejipanga nilisubiri nisikie tu kitu kimoja ili niconfirm nilichofikiri mwanzo na ilikuwa ni kuhusu mama Abdul kujipitisha pekeyake kinyume na katiba yao sasa wanamkalia kooni.
Hili jahazi lilizama kabisa 2020 kama unavyosema na sasa baada ya hii press tusubiri gunia la machawa wa buku 7 kama kina Lucas Mwashambwa likifunguliwa kuja kudiscredit alichoongea.
Karibu sanaAhsante
Inafanya kazi kama huna vpn na unataka kusikiliza audio..Ndio na huku tena?
Tupate Commercial break kidogoVpn swaaa