https://www.facebook.com/Sioni chochote, zoom yenyewe inasema waiting for the host to start the meeting...
Okay, ulishanitia mshaka mkuu🤣Thanks mkuu, inafanya kazi..
Pole pole katuponzaNilifikiri ni kifaa changu peke yake
Nimefanikiwa Kwa msaada wa vpnPole pole katuponza
vpn inakubali, sema nae anazungmza sana.Nimefanikiwa Kwa msaada wa vpn
Nipo naiangalia YouTube saa hizi kwenye channel ya "Wakili TV".
Naona kama vile anaaanza kuongea tunakotaka kufika....wacha tumpe muda tena kidogovpn inakubali, sema nae anazungmza sana.
Subira yavuta kheriNaona kama vile anaaanza kuongea tunakotaka kufika....wacha tumpe muda tena kidogo
Amesema "nyumba haina mwenyewe" hapa ndio tujue kuwa kuna wahuni wanaomcontrol huyu mama kama tulivyofikiri mwanzo na kumbe ndio ilivyo.Kama vile anawaingiza akina Mpango, Majaliwa, Mwinyi na Biteko hahahahhaaa
ahahahahaha YOUTUBE imenigomea aiseeeeNipo naiangalia YouTube saa hizi kwenye channel ya "Wakili TV".
Hii ya Facebook iko nyuma dakika 3 tumia hii.
View: https://www.youtube.com/live/Aij9cTmDaHw?si=LyVH0LXXyJrfxGOz
Kama upo Tanzania washa VPN nimeambiwa imefungwa.ahahahahaha YOUTUBE imenigomea aiseeee
Naona anarudia rudia kuwa Nyumba haina mwenyewe hahahhahaaAmesema "nyumba haina mwenyewe" hapa ndio tujue kuwa kuna wahuni wanaomcontroll huyu mama.
Nilishawasha VPN kitambo, kumbe na youtube ipo blocked?Kama upo Tanzania washa VPN nimeambiwa imefungwa.
Yes kuna watu watatu wameniambia hivyo.Nilishawasha VPN kitambo, kumbe na youtube ipo blocked?
Sasa kama rais anaenda kufungua hema unafikiria nini si kuna watu wanamburuza.Naona anarudia rudia kuwa Nyumba haina mwenyewe hahahhahaa
Sasa hivi yeye ndiyo anapiga simu kisutu na kuwaambia la kufanyaHii Nchi imefikia hatua ngumu na inazidi kwenda !!! hivi mahakama ikitoa amri mtu asiongee mnaona hizo ni Mahakama kweli??? Yule Rostam alisema watu wanapigwa simu kisutu wan!mbiwa la kuandika kwenye hukumu
Ni kweli mkuu, nimezima vpn, connection ikapotea...Yes kuna watu watatu wameniambia hivyo.