Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 3,475
- 5,900
https://www.facebook.com/Yes, mie hapa imebidi nitumie vpn inafanya kazi
https://www.facebook.com/hakuna kitu cha maana pia
Bila VPN hutoboi.Wamefunga Youtube
kupitia brave browser inapiga kazi fresh bila vpnBila VPN hutoboi.
subira tu -- ila so far matarajio na kilichopo mzani haujabalance --- tusubiri tuNaona sijui wamemroga? naona kama vile hajui anachokiongea au tusubiri?
Tumia VPNNimekutana nayo mahali ila sijajua iko genuine kiasi gani, naona network kwangu iko chinii sana sana
Join our Cloud HD Video Meeting
Zoom is the leader in modern enterprise cloud communications.us06web.zoom.us
https://www.facebook.com/
View: https://web.facebook.com/hpolepole/videos/mkutano-wa-ndg-polepole-na-wanahabari/1035169325065298/?mibextid=wwXIfr&rdid=Rz25t8IksKaEfHfH
Hio zoom meeting bado inafanya kazi mkuu?kupitia brave browser inapiga kazi fresh bila vpn
si kuna link ya facebook imewekwa humu inapiga kazi fresh, au laHio zoom meeting bado inafanya kazi mkuu?
Nilifikiri ni kifaa changu peke yakeYouTube hapa nilipo haifanyi kazi
Sioni chochote, zoom yenyewe inasema waiting for the host to start the meeting...si kuna link ya facebook imewekwa humu inapiga kazi fresh, au la
View: https://www.youtube.com/watch?v=mr0JB3RmyhU kama youtube ipo fresh kwako ila mpaka sasa 0 - 0, mbungi inaendelea lakini
Hivi ni threat kiasi cha kumzimia mtandao! Si Hana hoja, wamuache aseme watumie anachokisema kumpinga!ishakua blocked, dadeeeki
Thanks mkuu, inafanya kazi..si kuna link ya facebook imewekwa humu inapiga kazi fresh, au la
View: https://www.youtube.com/watch?v=mr0JB3RmyhU kama youtube ipo fresh kwako ila mpaka sasa 0 - 0, mbungi inaendelea lakini
nenda facebook, nimeweka link hapoSioni chochote, zoom yenyewe inasema waiting for the host to start the meeting...
Nikajua tatizo ni kwangu tuMtandao wa Youtube haufanyi kazi kabisa.
anasema shule ya UONGOZI ilikua shida kwa waatawala japo hawataji majina, kaanza kumtaja NdugaiHivi ni threat kiasi cha kumzimia mtandao! Si Hana hoja, wamuache aseme watumie anachokisema kumpinga!