- Thread starter
- #21
Inapatikana sana tu, utandawazi saivi mkuuKwacha unaipataje ili ulipe?
Inapatikana sana tu, utandawazi saivi mkuuKwacha unaipataje ili ulipe?
Sasa ukihitaji local channels si unalipia at least hicho cha 2500 ambacho kwa bongo ni 12kHizo dekoda za malawi, uganda na kenya hazina free local channel za Tanzania, mwendo ni kulipia tu. zina free channels za huko tu. zinazingua kufanya malipo
Tatizo bongo kodi, na hii kitu sio Azam tu angalia hata Dstv, startimes na Huku kule bei nafuu sio kama kwetu16000 kifurushi cha 35000 bongo
Ukihitaji njoo inbox bossWeka kwenye mada
tatizo kuna changamoto za kulipia ving'amuzi hivyo vya njeSasa ukihitaji local channels si unalipia at least hicho cha 2500 ambacho kwa bongo ni 12k
Na hiyo 2500 ni kwacha, kwa bongo ni around tsh 2000 mwezi mzima
Hapo watoto wataangalia katuni na Sinema zetu
Nipo natumia hiyoHiyo ya malawi unyama sana, vifurushi vyake chee tu
Changamoto hakuna kwa sasatatizo kuna changamoto za kulipia ving'amuzi hivyo vya nje
Umeona ilivyo rahisi gharama zakeNipo natumia hiyo