Hii hapa Azam TV yenye malipo nafuu

Hii hapa Azam TV yenye malipo nafuu

Jeorpa

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
372
Reaction score
222
Habari zenu wakubwa!

Kuna kitu natamani kuelimishwa, mimi ni mtumiaji wa Azam TV, huku kwetu tunauziwa Tsh 99,000 complete but without any package ang Tsh 55,000 Dekoda pekee without any package.

Unalazimika kununua package ya Tsh 28,000 ili iweze kufunguliwa baada ya kununua.

Ila sasa kuna hizi Azam tv kutoka Uganda & Malawi hizi ndio naweza kuzisemea coz nimezitumia, ukinunua Dekoda mpya kwa wanaziuza hapa kwetu ni Tsh 55,000 but inakua na package ya mwezi mzima tena inafungua channel zote kabisa.

Na malipo yake kwa mwezi ni tofauti na kwetu. Tanzania kuna package za
Tsh 35000
Tsh 28000
Tsh 19000
Tsh 12000

Wakati Malawi ni
Mk 15000
Mk 10000
Mk 4500
Mk 2500
Na lazima ujue hizi kwacha ni nfogo uki convert na pesa yetu.

Sasa kwanini sisi tunalipia pesa nyingi sana wakati huduma ni ileille kwa wote!!

Mwisho wa Siku ukihitaji Unafuu kwenye package switch kwenda Malawi or Uganda
 
Habari zenu wakubwa!!
Kuna kitu natamani kuelimishwa, mimi ni mtumiaji wa Azam tv, huku kwetu tunauziwa Tsh 99,000 complete but without any package ang Tsh 55,000 Dekoda pekee without any package
Unalazimika kununua package ya Tsh 28,000 ili iweze kufunguliwa baada ya kununua
Ila sasa kuna hizi Azam tv kutoka Uganda & Malawi hizi ndio naweza kuzisemea coz nimezitumia, ukinunua Dekoda mpya kwa wanaziuza hapa kwetu ni Tsh 55,000 but inakua na package ya mwezi mzima tena inafungua channel zote kabisa
Na malipo yake kwa mwezi ni tofauti na kwetu
Tanzania kuna package za
Tsh 35000
Tsh 28000
Tsh 19000
Tsh 12000
Wakati Malawi ni
Mk 15000
Mk 10000
Mk 4500
Mk 2500
Na lazima ujue hizi kwacha ni nfogo uki convert na pesa yetu
Sasa kwanini sisi tunalipia pesa nyingi sana wakati huduma ni ileille kwa wote!!
Mwisho wa Siku ukihitaji Unafuu kwenye package switch kwenda Malawi or Uganda
Decoder za Malawi au Uganda zinapatikanaje hapa Tanganyika?.

Pia utaratibu wa kulipia vifurushi kwenye hizo decoder za Malawi au Uganda kwa mtu aliyeko Tanganyika ukoje?
 
Habari zenu wakubwa!

Kuna kitu natamani kuelimishwa, mimi ni mtumiaji wa Azam TV, huku kwetu tunauziwa Tsh 99,000 complete but without any package ang Tsh 55,000 Dekoda pekee without any package.

Unalazimika kununua package ya Tsh 28,000 ili iweze kufunguliwa baada ya kununua.

Ila sasa kuna hizi Azam tv kutoka Uganda & Malawi hizi ndio naweza kuzisemea coz nimezitumia, ukinunua Dekoda mpya kwa wanaziuza hapa kwetu ni Tsh 55,000 but inakua na package ya mwezi mzima tena inafungua channel zote kabisa.

Na malipo yake kwa mwezi ni tofauti na kwetu. Tanzania kuna package za
Tsh 35000
Tsh 28000
Tsh 19000
Tsh 12000

Wakati Malawi ni
Mk 15000
Mk 10000
Mk 4500
Mk 2500
Na lazima ujue hizi kwacha ni nfogo uki convert na pesa yetu.

Sasa kwanini sisi tunalipia pesa nyingi sana wakati huduma ni ileille kwa wote!!

Mwisho wa Siku ukihitaji Unafuu kwenye package switch kwenda Malawi or Uganda

Learn ABC za biashara utaelewa
 
Achana na mambo ya inbox, ni official? Manake kama sio official changamoto za kimalipo zitakuwa mingi sana, nazijua na shida zake ni changamoto za kimalipo.
Dekoda ni official but registered in Malawi, malipo saivi sio shida japo sio kama hizi zetu
 
Decoder za Malawi au Uganda zinapatikanaje hapa Tanganyika?.

Pia utaratibu wa kulipia vifurushi kwenye hizo decoder za Malawi au Uganda kwa mtu aliyeko Tanganyika ukoje?
sema Tanzania, kusema Tanganyika unaleta uchokozi
 
Hizo dekoda za malawi, uganda na kenya hazina free local channel za Tanzania, mwendo ni kulipia tu. zina free channels za huko tu. zinazingua kufanya malipo
 
Back
Top Bottom