Hii hali ya sasa inatisha sana!!!

Wasafiri chungeni sana chakula na vinywaji vyenu, sio unabakizabakiza na kuviacha kwenda kuchimba dawa kisha ukavirudia! Na usikubali ofa ya msosi kwa jirani usiyemfahamu na mjihadhari sana na nusu-kaputi!
 
Back
Top Bottom