bujaganoni
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 561
- 452
Dah Sangoma tenaSubiri sangoma waje
Hana mume brother! Mtoto mbichi na wa kishua kabisa sijui shida inanipata nin! Inaniuma sana kumkosaunaogopa kufumaniwa na mme wake, siku ya kutatuliwa marinda inakaribia.
Sometimes you body,kwnyw mfumo wa kujilinda inakupa ishara "this is a wrong woman" ,kaa nae mbali,ukiforce sawa.Habari za jioni wapendwa!
Aisee kuna kitu nakiona hakimo kawaida, nina msichana wa pembeni (mchepuko) mara ya kwanza nakutana naye, kitu kililala mazima, mwili ukawa kama umeishiwa nguvu, nimejaribu usiku mzima hakuna mishe asee, siku ya pili ikaamuka kidogo kama sekunde kadhaa mambo yakagoma tena, sasa nikajihisi labda uanaume wa kinondoni umeniandama, lakini nilipofika kwa mama watoto mambo yako sawa tu, nimecheza dakika 90 na magoli ya kutosha.
Nikaamua kumwendea tena mara ya tatu, siku hiyo mambo yalienda sawia tu, tena akawa anahisi labda nimekunywa viagra sababu hakuelewa siku ya kwanza na ya pili ilikuwaje, shida sasa jana nikatoka tena, hali ya kipindi kile imerudi tena yaani haisimami... miguu kama inaisha nguvu, wasiwasi sijui ni nin?
Sasa ni nin tatizo wadau, wazee wa psychology mnaweza mkanisaidia. Haijawahi kunitokea before, hili jambo limenishangaza sana.
Nawasilisha.
unaishi mkoa gani?Hana mume brother! Mtoto mbichi na wa kishua kabisa sijui shida inanipata nin! Inaniuma sana kumkosa
DSMunaishi mkoa gani?
Hawa madaktar wa Bongo si ndio wanakuongezea ugonjwa asee, sidhani kama nilikuwa na uoga, labda wasiwasi, hofu, bahati mbaya sana mwanamke nafanya naye kazi, yaani ndio kabisaaHofu, msongo wa mawazo na uwoga.... Ukiwa na hivyo vitu yaani ata uwe na mke wako wa ndoa ngoma haisimami ng'ooo.... We relax tu mzee... Ila kama hali ikizidi muone daktar
kama unaishi huko hilo ni tatizo la kawaida tu, ndio maan wenzio utawakuta kwenye vibanda vya kuuzia pweza wanajifariji kwa kunywa mchuzi wake, bila kubust mambo hayaendi kabisaa.
Mkuu, kuna wakati nilianza kuwaza kama hivi asee, lakin nikajiuliza kwa nin haisimami?yawezekana MUNGU anakuepusha na majanga so ikimbie zinaaa mkuuu
Hahahahaha, pweza bro, hizo ni faraja tu, hakuna la maana hapo.kama unaishi huko hilo ni tatizo la kawaida tu, ndio maan wenzio utawakuta kwenye vibanda vya kuuzia pweza wanajifariji kwa kunywa mchuzi wake, bila kubust mambo hayaendi kabisaa.
Mwanasaikolojia;-
Hujiamini, una hofu, una mchecheto sana (huenda hujawahi kuvuliwa nguo na mwanamke mzuri kama huyo)
Kalumanzila;-
Huyo mchepuko ana jini mahaba (halikubali ulinyang'anye kitoweo chake)
Maandiko;-
Matokeo ya uzinzi (huenda mama watoto anamwomba sana Mungu akuepushe na michepuko sababu anajua namna wanavyoweza kusambaratisha ndoa na familia)
Wahenga;-
Huenda kuna kitu kikubwa na kibaya unaepushwa nacho (ugonjwa, kuolewa, kusambaratisha familia n.k)
Wauzaji wa Mundende;-
Una upungufu wa nguvu za kiume.
Mimi;-
"Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa" Mithali 6: 32.
Nb;-
Za kuambiwa changanya na zako.