Coz let's face the reality,
unawezakuta pisi ni kali kwenye business parks zao, mpaka ukashangaa kwamba shida hasa ni nini hii malaika iko hapa business park ya kijinga hivi?
halafu bei ni chee ya kutupwa hadi unastuka na kuamua kuilipa halafu unazuga kwenda kupark gari vizuri na unatokomea nyumbani kabisa, kwasababu unaweza kudhani sio kawaida.
halafu hapo ndio mtu anadai eti bila pesa huwezi kudeal na pisi kali. That's not true,
availability ya haya maua kwa sasa ni rahisi mno na bila gharama yoyote ile, coz nao wanahitaji sana kupelekewa motro bila masharti yoyote, coz wengi muda wa maringo umewatupa mkono 🐒