Hii haiwezekanii!!

Hii haiwezekanii!!

Sawa Red_me

Umesomeka,kwahiyo umebadili jinsia sio?
 

Attachments

  • Screenshot_20261015_133448_Gallery.jpg
    Screenshot_20261015_133448_Gallery.jpg
    111.3 KB · Views: 1
Kuna mahali nilisikia ogopa sana wanawake wenye senyenge mdomoni
 
Kila mwanamke ni pisi tatizo matunzo
Nimesalimika...

Hakuna kitu kama hicho. Mnapenda sana kubadilisha narrative mkijiona hamna vigezo. Hii kanuni inakata kotekote Kama ambavyo mnataka wanaume wenye hela, na hao wanaume wenye hela wanataka pisi kali.

Kama ambavyo sio wanaume wote wana hela, ndivyo hivyo hivyo sio wanawake wote pisi kali.

Wanaume wenye hela watajinyakulia pisi kali, na pisi mbovu zitanyakuliwa na wasiokua na hela.

Mwanaume asipokua na hela wanawake wazuri ataishia kuwaita mashemeji, ndivyo inakua na uoande wenu pia. Mwanamke asipokua mzuri wanaume wenye hela ataishia kuwaita mashemeji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom