Hii haiko sawa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii haiko sawa

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Yona F. Maro, Oct 25, 2008.

 1. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #1
  Oct 25, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
 2. Kaka K

  Kaka K Senior Member

  #2
  Oct 25, 2008
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mambo shy.

  Mi nadhani wanaweza kuwa wametumia template moja kwenye website zao au ni watu wanofanya biashara pamoja.....habari ya kucopy na kupaste ni ishu nyingine hiyo maana hizi website zinafana sana isipokuwa top banner,jina la company, email na about us page.

  Angalia Whois.Net na htttp://www.whois.net/whois_new.cgi?d=shugulika&tld=com

  shy "JE SHUGULIKA AMBAO WAKO TANZANIA NDIO WAMEIBA KAZI YA GLOBALTARGET?"

  Yawezekana pia ikawa the other way around.

  Asante.
   
 3. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2013
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  kumbe 5years ago ilikuwa dhambi kuwa na theme ya kufanana? siku hizi zinauzwa for few dollars unacustomize tu
   
Loading...