Hii habari ya Vodacom Tanzania kugawaTsh. 80,000/= ina ukweli wowote?

exalioth

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
2,190
3,685
Hii ni habari amboyo nimeipata.

Basi mwenye kujua undani wa hii habari kua kulingana na janga la ugonjwa unaosambaa covid19 kampuni ya VodaCom inatoa msaada kugawa tsh.80,000/= kwa wateja wanaotumia M-pesa.

Nawasilisha.

Yuda wa yakobo
Screenshot_2020-05-31-15-03-37.jpeg



UFAFANUZI KUTOKA VODACOM

1590994735596.png
 
Hakuna ukweli

Hao ni watu wanaotaka either ya vitu hivi viwili;

Ku drive visitors kwenye vi website uchwara wajipatie a dala or two.

Wanataka kukuibia wewe, pengine baada ya ku click hapo kuna mahala watakuambia ulipie transaction fee or so.

Kama ilivyokwisha elezwa hapo juu, cha bure ni salamu tu
 
Hii mijitu inayoamini kila kitu kinachoonekana mitandaoni ni mizuzu kweli.Hii mitandao imekuja na changamoto zake usipokuwa makini unaweza kulia/kulizwa muda wowote.

Kwa wapumbavu inakuwa rahisi sana kuwateka na kuwaaminisha wapumbavu wenzao wasiofikiri sawasawa.Kuna tofauti gani kati ya hii habari na zile anazoandika kigogo au mange kimambi? Mazuzu endeleeni kudanganyika.
 
Mange? Kigogo?
Hii mijitu inayoamini kila kitu kinachoonekana mitandaoni ni mizuzu kweli.Hii mitandao imekuja na changamoto zake usipokuwa makini unaweza kulia/kulizwa muda wowote.Kwa wapumbavu inakuwa rahisi sana kuwateka na kuwaaminisha wapumbavu wenzao wasiofikiri sawasawa.Kuna tofauti gani kati ya hii habari na zile anazoandika kigogo au mange kimambi? Mazuzu endeleeni kudanganyika.
 
Vodacom watoe tarifa zake kwenye ma group ya WhatsApp? Hapo ukiingia utaambiwa share link kwanza ndo upate. Hata huyo aloituma hiyo link ni kwamba kafungua akakuta share link ndo akatuma humo.

Kuna ile nyingine ya Tala kuwa wamerudi nayo ni hivyo hivyo pia kuna ile ya GB 500 nayo hivyo hivyo na sijui kama kuna mtu kashapataga chochote.

Yaan kipindi kama hichi makampuni yanateseka hela hakuna eti voda ndo wanatoa elfu 80 simple tuu?

Sasa mkuu watumiaji wa voda ni milioni 11 ukiweka na hiyo elfu 80 kila mmoja maana ake watagawa tirioni 8.8 looo kwa hali gani hiyo walo nayo kutoa hela ndefu hivyo?
 
Back
Top Bottom