KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,679
- 8,866
Wakati nikisikiliza Powerbreakfast nimesikiliza kuhusu ajali ya kigamboni...Mmoja wa rafiki wa Marehemu Driver alipigiwa simu na Polisi saa tatu asubuhi,wakati Marehemu alimpigia Rafiki yake saa tisa usiku akimtaarifu ameishapanda kwenye Panton,
- Swali
- Kama walizama usiku Je marehemu alijua anazama akampa Polisi simu??je kweli mda huo ulikuwepo??
- Polisi alipata vipi simu ya marehemu??
- Nakama walizama usiku je ilikuwaje polisi akasubiri kutoa taarifa asubuhi saa tatu?