Hii gari si itakufa kwa huu mzigo jamani

Hii gari si itakufa kwa huu mzigo jamani

150405_527584540625465_1513484916_n.jpg

Duh! hao jamaa sijui huwa wanapandaje huko walikokaa?!..Dunia haiishi mambo...
 
The load is balanced, so the side load is almost weightless.
They are just applying Principles of Kinematics, knowingly or unknowingly.

Mkuu, majority ya wajasiliamali wadogo wana-apply hizi principle bila kufahamu.. K.m nashangazwa sana na watengeneza mitumbwi wengi wao wana elimu ndogo sana lakini mitumbwi inaelea..! huwa nawaza hivi wakipata mtu wa kuwaelimisha huo ujuzi wao wautie katika maandishi hatuwezi pata 'kanuni' zetu za kiswahili?!..Naamini siku moja itatokea..
 
Hii ndio cabin ya Fiat 682N3, au Mbaula, kama anavyoiita KIJOME. Hapa hakuna kuremba. Ni kazi tu.

fiat-682-n3-01.jpg
 
kwanza hao jamaa hapo juu kwenye majani wamepajeeeee????????????
 
hii inanikumbusha mbali sana enzi hizoooooo!!!!!!!!!!!!
 
tuna shamba lipo pale kwa sadala tulukuwa na bedford imeandikwa KADOGOO ndio tulikuwa tunaisheheni stail hiyo.nimekubuka mbali kweli
 
Back
Top Bottom