Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Mkuu Young Master Gari hii ya model ya Fiat ina roho ya paka haifi haraka hivyo ingelikuwa ni isuzu ingelikwisha kufa lakini ni Fiat haifi haraka Mkuu.Hiiyo gari ishakufa tayari mkuu MziziMkavu...inasubiria kuzikwa tu.
Mkuu Young Master Gari hii ya model ya Fiat ina roho ya paka haifi haraka hivyo ingelikuwa ni isuzu ingelikwisha kufa lakini ni Fiat haifi haraka Mkuu.
Mhhhh hiii hapana na wenyewe wametulia hawana hata wasiwasi
682 a.k.a MBAULA haifi kibwege mkuu ni muitaliano original...Mkuu Young Master Gari hii ya model ya Fiat ina roho ya paka haifi haraka hivyo ingelikuwa ni isuzu ingelikwisha kufa lakini ni Fiat haifi haraka Mkuu.
Unaijua Mbaula 682 au unaisikia?Hiiyo gari ishakufa tayari mkuu MziziMkavu...inasubiria kuzikwa tu.
The load is balanced, so the side load is almost weightless.
Unaijua Mbaula 682 au unaisikia?
Ndio hiyo unayoiona hapo. Ina roho ngumu kama paka. Paka ana roho saba.Ndio nini hiyo?