Medecin
Platinum Member
- Nov 29, 2011
- 8,843
- 24,358
duh nimeona avatar yake,punga hilMkuu, naomba ujiridhishe kwa kuangalia avatar yake kuliko kuandikia mate na wino upo.... tehteehhh
duh nimeona avatar yake,punga hilMkuu, naomba ujiridhishe kwa kuangalia avatar yake kuliko kuandikia mate na wino upo.... tehteehhh
Teh teh,mimi huwa simuelewielewi piaMkuu, naomba ujiridhishe kwa kuangalia avatar yake kuliko kuandikia mate na wino upo.... tehteehhh
Heshima yako mkuu....duh nimeona avatar yake,punga hil
Inasikitisha sana.... tehteehhhTeh teh,mimi huwa simuelewielewi pia
Ova
Ndio maisha yenye alichaguaYuko mawindoni
Ova
Madhali ningekua labda hata km ningekua na dhiki ya usafiri kwa mfano hata kama ningekua sina gari nisingepokea hii hata bureee sitakiii
Yaani big noooo
Hii ni dharau sana na kuudogosha umiss kwa kweli
Serious wanapewa used baby walker?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] View attachment 827253
Teh teh,mimi huwa simuelewielewi pia
Ova
Hahahaha! cheki tyres zilivyojichokea
Yuko baharini anavua samaki Sasa sijui anawavua samaki hao humu jf seaKuna siku pia nilimuuliza swali kama yeye ni me au ke akaishia kutukana tu, yawezakuwa anajiuza huyu mtoa mada
Duh haya mashindano siku hizi sijui tatizo nini..Madhali ningekua labda hata km ningekua na dhiki ya usafiri kwa mfano hata kama ningekua sina gari nisingepokea hii hata bureee sitakiii
Yaani big noooo
Hii ni dharau sana na kuudogosha umiss kwa kweli
Serious wanapewa used baby walker?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] View attachment 827253
Mkuu walilibadilisha na kununua jipya,japo ni baby walker pia ila ni jipya,jana tuliongelea hii issue hapa.Duh haya mashindano siku hizi sijui tatizo nini..
Mkweche kabisa huo
Kwa kuangalia picha tu? Unaweza kujugde kwa macho tu? you never know engine na gia box zikawa master class!. Gari sio matairi au bodi peke yake banaa!Kwa kweli mkuu, kimeo kilicho pitiliza