Ray model
JF-Expert Member
- Jul 27, 2018
- 207
- 185
Madhali ningekua labda hata km ningekua na dhiki ya usafiri kwa mfano hata kama ningekua sina gari nisingepokea hii hata bureee sitakiii
Yaani big noooo
Hii ni dharau sana na kuudogosha umiss kwa kweli
Serious wanapewa used baby walker?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Yaani big noooo
Hii ni dharau sana na kuudogosha umiss kwa kweli
Serious wanapewa used baby walker?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]