Hii foleni Posta jijini Dar ni hatari...

Hii foleni Posta jijini Dar ni hatari...

Nchi chini ya chichiem ya ajabu sana

Ova
 
Hahaaa unakuta Uzi unazungumzia mapenzi, jitu linachangia hatuna nguvu za kiume sababu ya ccm
hahaah, au kama ule uzi wa Mwanahabari Huru eti akina mama Mwanza amewapenda wanafanya biashara wakiwa na jezi za CHADEMA na hali ni wanawake watatu tu (3) nilicheka sana. Siasa hizi!!!!!
 
Back
Top Bottom