Hii foleni Posta jijini Dar ni hatari...

Hii foleni Posta jijini Dar ni hatari...

Mayor wa Chadema yupo yupo tu, anajitahidi kuongeza foleni kwa kununua mabasi ya " Kutalii" badala ya kuzitumia hizo fedha kujenga miundombinu ya kupunguza foleni.
Maajabu hayaishi duniani! Ashindwe mmiliki wa HAZINA aweze Meya ?
 
tatizo hawa wanafikiri kila mtu ana akili kama zao.. kwani ukisema huli nyama inamaanisha utalala njaa... vyakula option nyingi hata matunda au maji tu...

binafsi boda boda sipandi.. ila naweza panda piki piki binafsi ya rafiki yangu tukaputa hata service road sababu ananijua msimamo wangu... au bajaj...

ila boda boda siwezi mkodi hata iweje....

kuchelewa ndege kiasi cha kukodi boda ni uzembe sababu why ukate ticket ya muda wa foleni kama unajijua huwezi kuwai masaa kazaa..

Niko radhi kuchelewa ndege kuliko kulala MOI na antenna! Halafu huwa napanda ndege strategically....za usiku au alfajiri.
 
IMG_2767.JPG



Nimejifanya kukaa mjini mpk mida huu nikwepe foleni lkn wapi.
 
Haya wenye magari yenu tunyoosheni tutafika...

Mdogo mdogo twajikongoja
 
Jangwani hapo ni janga lazima serikali itafute suluhisho la kudumu

Ova
 
Back
Top Bottom