Tofautisha pikipiki binafsi na bodaboda. Mimi nimeamua sipandi bodaboda kwa usalama wangu. Nawaona wanavyoumia/kufa na abiria wao. I do not wanna be a statistic!Maamuzi magumu sana mkuu. Kwanini? Disclaimer: pikipiki binafsi ndio njia yangu kuu ya usafiri hapa mjini na mkoani.
Can't agree more.Tofautisha pikipiki binafsi na bodaboda. Mimi nimeamua sipandi bodaboda kwa usalama wangu. Nawaona wanavyoumia/kufa na abiria wao. I do not wanna be a statistic!
Bodaboda zinatisha ila ukibanwa unajikuta umepanda tu..
Kwetu hakuna foleni ila walichotutenda mwendo kasi Leo Mungu anawaona..Kwenu hamna foleni?
Data givenNipo hapa Aga khan kuelekea Palm Beach dakika 40 tumesogea mita 10!
Huko Mwenge si tutafika kesho! Mlioko maeneo ya moroko,makumbusho kuna nini huko?
Shida aizoeleki.Hamjazoea tu?! Jiandaeni kisaikolojia. Kila mvua ikinyesha mjue usafiri huo utasimama kwa sababu ya upuuzi pale Jangwani!
Hatarious...nimepita hapo AH Mwinyi 30mins ago kuna mnyororo balaa!Nilisahau flash ina file muhimu nikasema nitoroke nirudi kuichukua home...nimekutana na foleni kuanzia bamaga mpaka salender...tarehe zenyewe mbaya hizi nmeunguza wese ile mbaya bora ningepanda bodaboda.
Leo kuna foleni sana Ali hassan mwinyi roadView attachment 716756
Aisee....umesahau WHEN OTHER FACTORS REMAIN CONSTANT i.e traffic police favor!Data given
t=40min
d=10m
Soln
Recall from
V=d/t
V=10/40 m/min
V=0.25m/min[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Utafika kesho kutwa mkuu,mtafika sawa na mtu aliyeanza safari leo ya kwenda Kigoma
Mkuu wacha kbc kuna mtu na yeye aliweka nadhiri kama hii ya Rrondo siku anaenda air port mwenyewe aliipanda bila ubishi tena kwa mwendo wa pesa(speed kali)[emoji2][emoji2][emoji23]Hayajakukuta wewe nakwambia hayajakukuta
Niko radhi kuchelewa ndege kuliko kulala MOI na antenna! Halafu huwa napanda ndege strategically....za usiku au alfajiri.Mkuu wacha kbc kuna mtu na yeye aliweka nadhiri kama hii ya Rrondo siku anaenda air port mwenyewe aliipanda bila ubishi tena kwa mwendo wa pesa(speed kali)[emoji2][emoji2][emoji23]
Hamjazoea tu?! Jiandaeni kisaikolojia. Kila mvua ikinyesha mjue usafiri huo utasimama kwa sababu ya upuuzi pale Jangwani!
Tumefundishwa kugeuza tatizo kuwa fursa
😀 kweli fursaTumefundishwa kugeuza tatizo kuwa fursa
vp kambale hazijafika ukanda huo watu wajiokotee
kitoweo!