Hahaaa unakuta Uzi unazungumzia mapenzi, jitu linachangia hatuna nguvu za kiume sababu ya ccm
Siasa zinatupelekesha.hahaah, au kama ule uzi wa Mwanahabari Huru eti akina mama Mwanza amewapenda wanafanya biashara wakiwa na jezi za CHADEMA na hali ni wanawake watatu tu (3) nilicheka sana. Siasa hizi!!!!!
Hahaaa, tatizo siasa zinatupelekesha sana kuliko hata wana siasa mwenyewe wanavyohangaikia siasa!!Siasa zinatupelekesha.
Asante kwa mchangoCCM imeleta foleni Dar
😀😀😀😀😀😀 Hata mlundikano wa kesi mahakamani ni shauri ya CCM hahahahahCCM imeleta foleni Dar
Hahaha si unajua tena prondo,Vp Umefika safari yko lknNilikuwa nasubiri comment ya hivi...CDM wakichukua nchi kutakuwa hamna foleni,unatoka nyumbani non-stop hadi kibaruani!
HahahahhaCCM imeleta foleni Dar
Hayajakukuta wewe nakwambia hayajakukuta
Wewe kama mimi mkuu. Uhai ni muhimu kuliko haraka.mimi binafsi pia nimeweka hiyo nadhiri toka mwaka 2014 baada ya kushuhudia ajali mbaya ya boda boda ya uzembe wa madereva boda wawili waliogangana kwenye makutano kabla mmoja hajakanyagwa na lori... nashukuru mpaka leo sijaivunja... boda boda sipandi hata iweje
Ndio...Umefurahi....
Bodaboda zinatisha ila ukibanwa unajikuta umepanda tu..mimi binafsi pia nimeweka hiyo nadhiri toka mwaka 2014 baada ya kushuhudia ajali mbaya ya boda boda ya uzembe wa madereva boda wawili waliogangana kwenye makutano kabla mmoja hajakanyagwa na lori... nashukuru mpaka leo sijaivunja... boda boda sipandi hata iweje
Maamuzi magumu sana mkuu. Kwanini? Disclaimer: pikipiki binafsi ndio njia yangu kuu ya usafiri hapa mjini na mkoani.Nakwambia hivi, sipandi bodaboda. Labda niende kijijini nitapanda zile zinazoingia kusiko na barabara. Ila hizi za kupita katikati ya magari jiji hili la makonda, hapana.