Hii familia yetu ikoje? Am confused! mnisaidie

me namshangaa sana mtoa mada, wakati anataka kumuoa ummu kuluthumu nilimpatia baraka zote. cha ajabu me kutaka kuolewa na MtotoSix anaweka kauzibe. wanajamvi hebu nipeni tafsiri ya hili make sielewi elewi ati!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Rule # inasemaje Mwali? Kizuri kula na nduguyo.
 
Last edited by a moderator:
Naona sina pa kuanzia....ngoja nisubiri watu wapige mbio za kanyaga twende...ntasimamisha katikati ya barabara
 
Shemeji yangu AshaDii popote pale ulipo........ Naomba kukufahamisha rasmi kuwa mimi ODM nina wake watatu ambao ni Yummy, cacico na BADILI TABIA. Hawa wote wako chini ya uangalizi wa Kongosho asali ya ODM. Nadhani pia unajua nina mchumba wa siku nyingi Zion Daughter.

Nimefanikiwa kupata wajukuu wapya princess enny, charminglady, Catherine na ummu kulthum. Hawa wote wako kwenye foleni ya ukaguzi. Bado sijawakagua, si wajua umri ushaenda huu? Pia napenda kukufahamisha kuwa kuna mkongwe amejitokeza ambaye bado pia sijamkagua, anaitwa Madame B. Huyu anaelekea ni mjuvi wa mambo kiasi kwamba ukaguzi wake ntahitaji ushauri wa wake zangu.

Kama unavyojua nina homeboys wangu Kaizer, RR, Kimey, Bigirita, KARIA, na Mentor. Hawa wote nshawakabizi wajukuu zangu (Usijali, Kaizer kishaoa mjukuu gfsonwin nlomkabidhi japokuwa muda si mrefu ntamkabidhi mwaJ ili kama unaona itafaa umpe kibali aoe kabisa)

Usisahau pia nina wajukuu zangu waziwanda..... Mjukuu mtiifu MwanajamiiOne na Mjukuu Mteule afrodenzi.

Afu sasa kuna makomredi na wazee wenzangu TIMING, Dark City, Fidel80 na Bishanga. Kama kuna vibinti vinahitaji malezi ya wazee huko kwenu, chagua mmoja wapo kati ya hawa.

Kuna vijana wangu naowaandaa kwenye kunirithi kazi ya ukaguzi..... BAGAH, Erickb52, Judgement na Mr Rocky. Mmoja wao lazima akamate kiti changu, japokuwa naona kama BAGAH kinamnyemelea zaidi.

Mwisho napenda kukufahamisha kuwa mai fellow tablet klorokwini yuko mpakani ziwa Nyasa akijiandaa kuyarudisha nyuma majeshi ya kamanda mama anayetaka kutunyamg'anya maji yetu.

Ukimwona Roulette, Mwali na King'asti, waambie nawamisi sana na wanakaribishwa kwenye familia yangu.
 
Last edited by a moderator:
sisemi neno mie...



 
Mmmh! Asante kwa mualiko babu. Familia yako naiogopa. Lakini naipenda sana tu.
 
Last edited by a moderator:
khaaaaa hiii familia balaa!! ndio maana naipenda sana!!
 
u have spoken well my husband! u have said it all NNAI!!
 
LIWALO NA LIWE!
Hii familia imekuwa si extended bali expanded family.
Na kweli kabisa uwezekano wa kuwowa mtu na dadake umo hapa!...lol!
 


Babu umefunga kazi......ila nakuomba kwenye hiyo list yako ya kuwarithisha ukaguzi umtoe Mr Rocky tafadhali sana hafai kabisa yani hana hivyo vigezo,wataishia kumkagua yeye. Si eti sweetlady huyu Mr Rocky atolewe tu aingie kwenye mjukuu yakinifu....lol
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…