Hii familia yetu ikoje? Am confused! mnisaidie | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii familia yetu ikoje? Am confused! mnisaidie

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by platozoom, Aug 22, 2012.

 1. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,317
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kwamba mimi platozoom ni kijana na kwamba dada yangu toka nitoke ni gfsonwin na mume wake ni Kaizer....Halafu Ronnie m ni mpwa wangu kwa maana ya kwamba ni mtoto halali wa dada yangu gfsonwin na Kaizer.

  Halafu la kushangaza zaidi gfsonwin ana mke mwenzake ambaye ni AshaDii ambaye ni mke mkubwa wa Kaizer.....na zaidi ya hapo AshaDii ni mkwe wangu kwa maana ya kwamba nimemposa binti yake!!!!!!

  Kama hiyo haitoshi mtalaka wangu charminglady anataka kufunga ndoa na dogo mmoja mshamba anaitwa MtotoSix, na huyo mtoto six ni mtoto wa nyumba ndogo ya Kaizer (enzi hizo alipokuwa waruwaru)..............!!

  Na kituko zaidi eti charminglady naye anasema AshaDii ni anti yake!!!!!!!!!!!!!

  Hebu walimwengu mnipe jibu hii familia yetu ni balaaa au laana au ni upepo tu utapita? Am so confused!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Nendeni hivyohivyo kimtandaomtandao!
  Tatizo kumbe wengine walianza kuchuja nafaka kabla hawajaoa! Na kile kitupo hua chenyewe hakijui kama chatupwa ndoani au laa! Kumbe mwatafunana mnyewe-kwa-mnyewe!
  Saalaalee!
  Duuh !
  Khaa!
  Afana'alek !
  Dooh !
  Kudda'adaddek!
  Mwee!
  Aiysiii !
  Arrooh !
  Kwishney!
  Alaaa!
  Ebooo!
  Alafu tena alaf tena !
   
 3. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :biggrin1: Mzee bado tu huja move on? naona umeongea kwa hisia hapo..pole ndio ushapokonywa hivyo..sasa wewe kama ex wake sidhani kama ni good idea kuja harusini...maana usije pale kanisani ukatuharibia wakati mchungaji anasema yoyote mwenye pingamizi la hii ndoa aseme sasa hivi...wewe hatukuamini
   
 4. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,317
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo unatuweka kwenye kategori ipi?.............Hivi unajua unaweza kufanya makosa na hujui kwamba unafanya makosa mpaka utakapoona makosa?
   
 5. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,317
  Trophy Points: 280

  Kuhusu ndoa ya huyo dogo wala mimi sina kinyongo........kwanza una taarifa kwamba michango ishayeyuka? na kwamba bia ulizokuwa unafikiria utazipata ndio zimeshayeyuka hivooo
   
 6. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  sema uyo dogo mjanja kaamua kujihalalishia maaana kachoka kula kiwizi wizi, baada ya wewe na jamaa aliyepigwa ban na amerudi na id mpya kutoswa vibaya saSA MMeamua kuanzisha kamati ya majungu ili arusi isifungwe sasa sie hatuna neno na nyie arusi itafungwa na wenye wivu mezeni wembe tu
   
 7. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,317
  Trophy Points: 280
  Dogo tuulize wazawa wa hapa tutakueleza mengi...........umeshapigwa changa la macho na bado hujazinduka
   
 8. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #8
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  kapita kwingi kaona mengi kachoka kaamua kupumzika na mimi, si umsapoti ex wako...kama kweli ulishawai kujivinjari nae! yani we bado unaona raha ye akiendelea kubadili mishedede kila kukicha?
   
 9. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #9
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Dah... Hii kali! hahaha!

  Platozoom haitakiwi uchokoe sana muunganiko wa huo undugu ukoje, mwisho hata mwanangu ulie mposa utashindwa kumuoa baada ya kugungua wewe pia ni mwanangu. Kama unavoelea tena jamii zetu za kiafrika wanaume wengi wana mke mkubwa na mdogo. Kutambua kwangu hilo lilininya niombe ruhusa kwa baba watoto (Kaizer) nipumzike na nimtafutie mke mwingine, mdogo, mbichi ila mwenye maadili ya mabusara ambae ni gfsonwin.

  Ndio maana bila hiyana nimewaambia kuwa mtoto Ronn M aletwe nilee mimi, wao kazi yako ni kufurahishana huku wanajijenga sababu wote ni wafanya kazi hodari. Na mimi sababu mama wa nyumbani nitalea na kuangalia budget inaenda vipi kwa malengo ya kuwa na maisha ya uhakika hadi huko mbele. Hivo natangaza rasmi saa hivi mke wa baba watoto wangu Kaizer ni mume rasimi wa gfsonwin... mimi napumzika sasa.

  Ndugu zangu ni wengi saana karibu kila mtu hapa nimeungana nae kwa damu au ndiko watoto wamtoa damu yao huko...

  Nina niece zangu Mwali, @Husnyinyo, Elizabeth Dominic, Golden Mpolee na mwingine atakae taka

  Nina wifi zangu wa ukweli King'asti, sweetlady na pia nimetambulishwa Catherine ambae kaolewa na Mentor na wamebahatika kumpata mtoto anaitwa Beibenasty ambae ataongezeka kwenye list ya ma niece.

  Wadogo na kaka zangu @Merrita, Smile, Cantalisia, MwanajamiiOne, daughter, Mayasa, Young Master (ambae leo hii ana BD ) Vin Diesel, Ritz, Matola, Mwita Maranya, Bigirita, Eiyer, na Mentor. Kaka ambae tumezaliwa tumbo moja ni Steve Dii.

  Marafiki WomanOfSubstance, Roulette, Kaunga, Ndahani, Azimiojipya, EMT, Manyanza, Mwita Maranya, Preta na mumewe mpya Bishanga, PakaJimmy, The Boss, Belinda Jacob, afrodenzi, Paw, Gaga, Mr Rocky... na wengine wengi sana kuwataja.

  Nina shemeji zangu akina Asprin, Kimey, @R R, fazaa, TIMING, The Finest (ambae ni more of a brother), Fidel80

  Nina my ego ambae yeye ni moderator maarufu kwa jina la Roulette.

  kuna wengine nashindwa hata elewa ni nani anymore...lol. Mfano Judgement ambae alikuwa kaoa niece wangu @Husnynyo

  Kuna wake wenzangu, Kongosho, Zion Daughter, gfsonwin, then nasikia pia kuna cacico. shemeji familia upande wa mume wanaoa kila siku! lol hivo inawezekana kabisa tupo zaidi ya hapo.

  Nina anty yangu Mamndenyi na Mzee wangu Dark City.f

  Nina watani wangu pia lol, Nyani Ngabu


  Take note sijamaliza; wengine nitamalizia baada ya mapumziko.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  Napita jama
   
 11. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #11
  Aug 22, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #12
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Anti, hivi mtu alie wahi kua shemeji yako (Mfano RR), halafu
  wewe na uncle Kaizer mkaachana (Mungu apishe mbali)
  RR anaendelea kua shemeji yako? Hili swali ningependa hata Asprin alijibu.
  Maana kama ni hivo, basi weka hapo juu kua Saint Ivuga aliwahi kunitongoza,
  akataka kuleta na posa ila Uncle akakataa. Hivo anakuja kwenye level ya nephews.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #13
  Aug 22, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,660
  Likes Received: 1,495
  Trophy Points: 280
  Ni upepo tu utapita....
   
 14. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #14
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,317
  Trophy Points: 280
  Na usirudi kabisa usije kusema na wewe ndugu yangu.......naweza kuzimia kabisa
   
 15. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #15
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,317
  Trophy Points: 280
  Sasa mbona AshaDii, Mwali na The Rocky mnanichanganya kabisa? Ngoja nikanywe asprini nipumzike. Nikirudi ndugu mwenye Volg, Benz au Boghat ndiye naanza kumtambua............maana naona tunatiana wehu tu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #16
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,317
  Trophy Points: 280
  Sawa shemeji (baba mkwe?)
   
 17. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #17
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,836
  Trophy Points: 280
  Acha kumtisha charm kasha nasa hapo na wanapendana sana na vikao vina endelea!

   
 18. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #18
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Naona umeshikwa pabaya, mimi simo. Ila unajua kuchagua, ingekuwa ni mimi AshaDii pangekuwa padogo yaani! Mwaya rafique AshaDii mimi na my shosti wangu Erotica wala hatuhusiki na muungano huu wa mifyonzo ya gfsonwin. LMAO
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #19
  Aug 22, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Huku sasa kumekucha, yaani kutokuwepo kwa AshaDii ni wazi hili jukwaa lilikuwa linapelea, sasa hapa na kale kabinti karembo Lizzy itabidi naye akatishe ziara yake arudi hapa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #20
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :biggrin1:
   
Loading...