Hii error inasababishwa na nini kwenye windows ?

Hii error inasababishwa na nini kwenye windows ?

mnyakwetu

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
309
Reaction score
96
Nina pc compaq nikidownload sofware yoyote nikiinstall inanijibu hivi
windows cannot access the specified device,path,or file,you may not have the appropriate permissions to access the item hii inasababishwa na nini?
 
Probably hauko logged in kama administrator kwenye hiyo PC, jaribu ku right click hiyo setup file kisha chagua Run as Administrator.
 
Probably hauko logged in kama administrator kwenye hiyo PC, jaribu ku right click hiyo setup file kisha chagua Run as Administrator.

Mkuu nmefanya hivo imeshindikana,kuna wakati inanambia update ua graphics driver na sijui ni nini
 
Back
Top Bottom