Hii enzi haitorudi

Hii ilikuwa novel yangu ya kwanza kuisoma na kuipenda....
 
Kalume kenge akataa kwenda shule
Hadithi za Alan quarterman na mashimo ya mfalme suleyman
Bulicheka
Hadithi za hesopo (Aesop's fables)
Boramimi
Majitu matatu

Mmenikumbusha mbali saana
That time primary school nilisoma zaidi ya 200 books
 
Kalume kenge akataa kwenda shule
Hadithi za Alan quarterman na mashimo ya mfalme suleyman
Bulicheka
Hadithi za hesopo (Aesop's fables)
Boramimi
Majitu matatu
Kisiwa chenye hazina

Mmenikumbusha mbali saana
That time primary school nilisoma zaidi ya 200 books
 
Abdul and other stories
Hapo utacheka mpaka mwisho
Then alfu Lela ulela au siku alfu na moja part 1 Hadi four
 

Hii collection unayo yote?
 
Nakumbuka tukiwa std 5 themi tuliletewa vitabu kama sky jack over africa,Olu and the smuggle,Alibaba and 40 thieves,na vingine nimevisahau,nilivipenda mno,vilinipa hamu ya kupenda shule,vilinishawishi kujifunza kiingereza kwa bidii,kwenye sky jack palikuwa na picha moja naikumbuka,yule mtekaji(hijacker) akimshurutisha pilot ashushe ndege,pilot anamwambia"i cant do that"
 
Mno na safari za Gulliver, Rose mystika nk
dah,Rosa Mistika,!!Jamaa walirithi,kweli walirithi,walirithi hadi mti wa mlimao uliokuwa uani.
Rosa mbele ya Mungu:Kwa nini ulijiua Rosa???
dah mkuu kweli miongo mingi imepita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…