Hii enzi haitorudi

Hiki kizazi cha tom and jerry hawawezi kujua mwanasesere ni nini. Sasa wakisikia gulioni Katerero ndo watauliza tena gulioni ndo nini, watoto hawamjui hata abunuas na hekaya zake, ooopss na hapa watauliza hekaya ndo nini tena. ( tom and jery..... sina uhakika na spelling).
 
aisee....kitambo sana. kuna story ya Hawafu mwenye Nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…