Hii enzi haitorudi

Ni kweli haitorudi. Ni kama vile enzi hii ya UKAWA haiwezi kujirudia tena.
 
hivi vitabu sijui vinapatikana wapi sasa hivi! Na mbaya zaidi watu wengi sasa ndiyo wanaonesha kuvikubali. Na hiki ni kielelezo kuwa hatuna tabia ya kutengeneza maktaba zetu.
 
Tafadhali atakaye bahatika kuviona sehemu hivi vitabu vinapouzwa tuarifiane sbb kitabu cha juma na Roza kinanikumbusha jinsi nilivyokuwa naweza kusoma kwa kuangalia picha tu na sio maneno
 
Bulicheka na mfalme wa huihui
Pinochio
Yohana mjinga
Sindbad baharia
ayaa! vingine majina yeshaanza kufutika.

Haha mfalme juha na safari ya wagagagigikoko
Alfulela ulela
Adili na nduguze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…