Hii Eatv Awards ni ya low quality

Hii Eatv Awards ni ya low quality

At least ata wao wameamka na hilo wazo unless you unaesubr kukosoa.... Cnzia tu na hii govt ya jpm its a step forward
 
At least ata wao wameamka na hilo wazo unless you unaesubr kukosoa.... Cnzia tu na hii govt ya jpm its a step forward

At least waangeanza na ukumbi kama wa kora awards Nyam1
 
Nimependa bhna mtoa mada inabd utmie akili ktk kufananisha us na tz c bora
 
Mi nafikiri tuwaunge mkono kwsbb ndio wameanza na wameonesha uthubutu. Uzalendo ni jambo la msingi.
 
So far maandalizi yako bomba ,tutafanya assessment baada ya tuzo
 
Back
Top Bottom