Hii dunia haina huruma

Hii dunia haina huruma

school boy

Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
42
Reaction score
10
Nna rafiki yangu ambaye mimi ni kama kaka yangu wa mtaa amehustle kutoka o level mpaka A level kwakua hana mtu yeyote wa kumtegemea kajisomesha kwa bodaboda wiki shule wiki mtaani o level alifail akarisit kapata credit advance katoka na 14 history D geography D kiswahili E na Gs F

Chakushangaza first selection hakupata na second pia hakupata na aliaply teaching tu bado kakosa sielewi nimshauli nini na diploma kasema hawezi kujisomesha mpaka alipo fikia ada hataweza kulipa ni yatima hana ndugu wa kumsaidia.
 
Mwambie mafanikio sio lazima elimu....kuna watu wamefanikiwa kupitia bodaboda.
 
Sasa hapo ni dunia imekosa huruma (refer heading yako)!!! Dunia inahusika vipi hapo???
 
Nna rafiki yangu ambaye mimi ni kama kaka yangu wa mtaa amehustle kutoka o level mpaka A level kwakua hana mtu yeyote wa kumtegemea kajisomesha kwa bodaboda wiki shule wiki mtaani o level alifail akarisit kapata credit advance katoka na 14 history D geography D kiswahili E na Gs F

Chakushangaza first selection hakupata na second pia hakupata na aliaply teaching tu bado kakosa sielewi nimshauli nini na diploma kasema hawezi kujisomesha mpaka alipo fikia ada hataweza kulipa ni yatima hana ndugu wa kumsaidia.
Mwambie ajarbu kuchek vyuo vingne maana kuna mshkaj katka second round hukuomba udsm lakn amechaguliwa pale
 
Mwambie agangamare. Wengi tumepita huko leo mtu anakuona umekaa kwenye Land Cruiser V8 anafikiri we mtoto wa fisadi kumbe mtu umehenya kweli kweli. Asikate tamaa na kwa mahitaji madogo madogo kama vitabu n.k mwambie kuna watu tunaoweza kumsaidia as long as siyo utapeli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom