BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,809
- 5,784
Never ever aiseee
Haha savanna?
Never ever aiseee
No pls!Haha savanna?
Mhhhh aisee afadhali yangu mimi nakunywaga Bavaria, au nayo inaleta nzi jamani?
Nilikuwa sijui hili!
[emoji85] [emoji85] [emoji85]
funga kalie home
Ndugu zangu nimeonelea siku hii ya kumalizia Xmass nikachomeshe kitimoto kwenye bar flani huku mtaani kwetu. Wakati nikiwa nasubiri ili kuepuka usumbufu wa kuulizwa mara kwa mara kaka tukusaidie nini nimeamua kuagiza soda. Niliofika nao pamoja wameagiza bia (pombe) na kuhudumiwa faster kwa kupewa meza na viti huku mimi nikiambiwa viti vimeisha!! Nimesimama hadi miguu ikaniuma nikaamua kusogea kaunta ili niegemee kaunta ninywe hiyo soda ya kusubiria kiti moto,wakati nikiwa hapo kaunta nimeona viti vitatu vikiwa tupu bila watu (vimewekwa akiba). Sijui niwape faka au nisubiri tu pork yangu nisepe:what:
Huyu jamaa ange anza kumtafuta manager....amueleze! Hao wahudumu wamewawekea wanao wapa bia za bure...Napendaga kweli dharau za namna hii.....
Ningelianzisha timbwili la haja....... wangemleta mmiliki kuja kupozaa
Ubaguzi ni tatizo katika biashara za tanzania. Kwani hamjawahi ona mtu anazidishiwa bei kwa kuwa ana gari au ana kitambi?
Mhhhhh hebu ninong'oneze best maana hadi home ninazo za akiba kabla sijateketea.Nasikia hiyo Bavaria nayo ina makusudi yake.
Mhhhhh hebu ninong'oneze best maana hadi home ninazo za akiba kabla sijateketea.
Subiri nikucheki kule chimbo letuKkkkkkkkkkk!!! Mimi simo[emoji14]
Subiri nikucheki kule chimbo letu
Acha uzushi usio na kichwa wala miguu.Sasa sisi tukushauri nini na Bar umeshaondoka! au unataka uwarudie ukalianzishe upya? Acha kula hiyo Kiti moto ni mbaya kwa Afya, (Sina haja ya kuweka fact coz hii kitu tumei discuss sana tu humu)