Hii dharau sijapata kuiona!!

Hii dharau sijapata kuiona!!

....we kubwa zima unakunywaje soda bar arifu!...na kakitimoto kenyewe robo umejaza mindizi kibaaaaaoo!
...we ulitakiwa ukae chini kabisa!

Kkkkkkk mkuu Upiversity nina watoto mkuu walikuwa wamelala sharti niwahifadhie wakumbane nayo asubuhi kwenye breakfast. Umenichekesha sana yaani kama ungekuwa mhudumu naona ungenitoa nduki.
 
Last edited by a moderator:
Kkkkkkk mkuu Upiversity nina watoto mkuu walikuwa wamelala sharti niwahifadhie wakumbane nayo asubuhi kwenye breakfast. Umenichekesha sana yaani kama ungekuwa mhudumu naona ungenitoa nduki.

...kama cha watoto sawa mkuu.,ila usinywe tena soda bar!
...mkuu Magnificient pita uone inavyokuwa mtu mzima asipokunywa pombe sheikh!
 
Last edited by a moderator:
nilishawahi rnda bar nikaagiza soda muhudumu akatokomea kusikojulikana kuja kuona anahudumia watu wengine(walioagiza bia) nilichoka sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom