Hii dhana bado ipo.

leipzig

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
2,766
1,707
Unakuta mnaishi mtaani na pale linapotokea tatizo la kijamii basi utasikia eti hilo tatizo litashuhulikiwa haraka kwa sababu hapo mtaani wanaishi watu wakubwa serikalini.

Hivi hali hii ni sahihi? Nakumbuka nilikuwa naishi mitaa fulani na wezi wakawa na mazoea ya kuiba mafuta katika transforma na hivyo kukosa umeme baada ya kuungua lakini katika muda mfupi transforma nyingine inarudishwa.

Wakati mwingine mgao ulikuwa hautuathiri sisi mtaani kwa vile mtaani kuna mtu mkubwa,je haya mambo yanaendelea?
 
Rudi kwenye hiyo mitaa uliyokua ukiishi zamani ukawaulize kama hiyo hali bado inaendelea.
 
Back
Top Bottom