Hii DEEP WEB inanichanganya jamani

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
1,211
1,185
Habari wana jamii forum
Jana nilisoma kuhusu habari ya DEEP WEB kwenye jukwaa la habari mchanganyiko,sasa bado nina kigugumizi kuhusu hii kitu naona bado inanitishia maana nimeinstall naona bado inaniletea mauzauza tu heb watu wa Internet hapa tujadiliane kidogo ni nini hii kiundani
 
Wewe vitu huvijui alafu unauliza mjadala. Kajadili makinikia kidogo unaweza ukaelewaelewa
 
Back
Top Bottom