mficha maradhi kifo umuumbua wiki iliyopita niilijichanga uswazi kupinga masanga na kutafuta kipoozeo(demu) kwani nilikuwa na ugwadu balaa si unajua tena sisi wazee wa lokoo daile
nikafanikiwa kupata ndega ya elfu ishilini na tano nyama kwa nyama na kwa kutumia condom basi angenifanyia elfu kumi na tano nikaona ngoja nichukue ile ya elfu kumi na tano ili kuepusha gharama, sijaanza kazi nikaona ni vyema niikague kabisa mashine nikashangaa kitu kiko taiti vibaya mno ikabidi niongeze dau ili nipige nyama kwa nyama na kweli niliinjoi mno kesho asubui nikakuta uume unauma sana nikafikili inawezekana ni ile kazi ya jana lakini ilipofika majira ya mchana hali ilianza kubadilika kwa uume kuwasha na kukokjoa kwa shida nikaona mh huu msala sasa na kabla sijaenda hospital ni lazima nipate kibali toka kwa daktari hapa hapa kambini hivyo akijua itakuwa aibu na fedhea.
Nikaona ni bora niwazukie wamasai lakini toka wanipe tiba nashukuru naendelea vizuri na ugonjwa unaendelea kukoma nachoshangaa toka nianze kutumia hiyo mitishamba uume wangu unarefuka kila siku sasa sijui niliksea masharti ya utumiaji hiyo dawa au alinichanganyishia baada kuona kadude kangu kanafanana na kibamia au lah nilijaribu kwenda pale nilipomkuta nikaambiwa yeye ni mtu wa kuhama hama
kwa mwenye njia mbadala naomba ushauri