Kayanga karagwe
Member
- Nov 21, 2023
- 28
- 60
Na kungunguni je?
Akher powder tu hii yenye picha kuku na paka? Tunatumia kwenye utitiri wa kuku,mbwa nkHapo kwenye akher ukiongeza a inakuwa akhera. Na usipochukua tahadhari mpk wewe inakupeleka akhera
Ni paka tu Kwa panga maana hata ukiwau Hawa watakuja wapya. Ku solve mazima Fuga paka maana ni Moja ya LINDO lake na chakula chake pendwaPlease wakikujibu naomba unitag maana sio uharibifu ninaofanyiwa na panya hapa nyumbani. Maana sumu sasa hivi wamezishutukia hawali.... Kwenye mtego hawasogei.
Kwahiyo kwasasa inapatikana tu huko SUA?Sua, (sokoine university), wanatengeneza sumu nzuri mfano wa tambi anakula kwa heri angalizo kwa ile mipanya mikubwa hakikisha bafuni chini hakuna maji, panya anakuwa na kiu ya maji
Pale kabla ya kituo cha polisi kulia, kuna mradi wa panya pale wanauza bei nafuu kwasababu wao ndiyo watengenezaji, panya akila anaoza, huchanganyi na kitu chochoteKwahiyo kwasasa inapatikana tu huko SUA?
pitia hapa👇🏽👇🏽👇🏽Please wakikujibu naomba unitag maana sio uharibifu ninaofanyiwa na panya hapa nyumbani. Maana sumu sasa hivi wamezishutukia hawali.... Kwenye mtego hawasogei.
👇🏽👇🏽👇🏽Vipi sumu mzuri kwa ajili ya panya ni ipi?
Nina migomba michache nyumbani kwangu ambapo hutokea vijidudu kama siafu vingi sana vikifuata chakula vinasumbua sana sijui itasaidia?Habarini jirani zangu,
Sio vibaya nikiwasanua kuhusu hii dawa ya wadudu wanaosumbua ndani ya nyumba zetu. Jamani sifanyii promotion ila nimeitumia hii dawa na nimeikubali, sioni kuanzia sisimizi mpaka mijusi waliokua wananisumbua. Inapatikana kwa wale jamaa wanatembeza sumu ikiwemo ya panya mende n.k.
Tahadhari tu zichukuliwe maana itakua hatari endapo haitopewa uangalizi wakati wa matumizi.
View attachment 3032774
SUPU YA PANYA !, MENDE,KUNGUNI,VIROBOTO, UTITIRI,MCHWA!, DAWA YA FANGASI,HARARA, MAPUNYE,MUWASHO WA NGOZI!, DAWA YA KUONDOA MENO YA SIGARA KWENYE MOSHI INAUZWA HAPA!Habarini jirani zangu,