Habarini jirani zangu,
Sio vibaya nikiwasanua kuhusu hii dawa ya wadudu wanaosumbua ndani ya nyumba zetu. Jamani sifanyii promotion ila nimeitumia hii dawa na nimeikubali, sioni kuanzia sisimizi mpaka mijusi waliokua wananisumbua. Inapatikana kwa wale jamaa wanatembeza sumu ikiwemo ya panya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.