Code01
Member
- Jan 7, 2024
- 26
- 29
Habarini jirani zangu,
Sio vibaya nikiwasanua kuhusu hii dawa ya wadudu wanaosumbua ndani ya nyumba zetu. Jamani sifanyii promotion ila nimeitumia hii dawa na nimeikubali, sioni kuanzia sisimizi mpaka mijusi waliokua wananisumbua. Inapatikana kwa wale jamaa wanatembeza sumu ikiwemo ya panya mende n.k.
Tahadhari tu zichukuliwe maana itakua hatari endapo haitopewa uangalizi wakati wa matumizi.