Hii CV ya Mama Lwakatare ina maajabu yake, tusaidiane kuichambua tafadhari

Status
Not open for further replies.
MAMA RWAKATARE ANAFUNDISHA NA KUTUNGA VITABU VYA ELIMU YA NDOA WAKATI YEYE MWENYEWE AMEMFUKUZA MUMEWE!!!!!!!!!!!!!!!
HUUU NI USANIII!!!!!!!!!!
Dr. Rev. G. Rwakatare: Where will you spend your Eternity, Dar Es Salaam2001
Dr. Rev. G. Rwakatare: Tembe za Ndoa, Dar Es Salaam
2004
Dr. Rev. G. Rwakatare: Namna Ya Kuendesha Biashara kwa Faida, Dar Es Salaam1999
Dr. Rev. G. Rwakatare: Niende wapi kwa misaada na mikopo, Dar Es Salaam1984
Bwanae si wengine vilaza, tuelewesheni jamani, hizo ni publication as of books au papers?

Kama ni Books Publisher ni nani? ISBN number year of Publication na reviewers ni kina nani?

Kama ni papers amepublish Journal gani…maana naona Dar es Salaam kila kitu..hiyo ni sehem alikoandikia papers au ndo jina la Journal?
 
Patamu hapo!!!!!!
 
Mie sijasoma,hivyo siko kny position ya kumcriticize huyu mama,but kwa wababa na wamama wa zamani huyu mama alijitahidi kwa kweli......

Mnaoponda ni kweli CV za wazazi wenu ziko better off than Mr's RWAKATARE????

Nadhani mambo yamekuwa advanced kidogo ndio maana mnaona vitu in different perception..,,,,,engneer wa kale sio sawa na wa sasa,watakuwa wote na basics tu...ila huyu wa sasa atafanya mambo kiusasa zaidi....

Ni mtazamo wangu tu lakini...
 
ESAMI watu hawasomi degree ya kwanza labda short course au MBA na Master ya miaka 4 whauuu!!

Jamani mwacheni mtumishi wa bwana, Mbona PhD ile ya Nchimbi ya Mzumbe hamkuhoji amesoma miaka mingapi? CCM mafisadi mpaka wa watoto wao wenyewe,angalia la miss tanzania,baba yupo tayari kudhalilisha mtoto
 
kuna mambo hapo juu kwenye hii Cv kidogo yananipa shida. naomba wadau mliosoma zamani mnisaidie. je miaka ya nyuma Elimu ya Msingi ilikuwa miaka mi tatu?
Huyu mama Dr.Lwakatare alisoma Ifakara Girls Primary Schoolalianza mwaka 1962 na kumaliza 1965.
pia nisaidien je elimu ya sekondari A level ilikuwa mwaka mmoja ? Maana yeye CV yake inaonesha
Korogwe Girls' High SchoolA-Level Education alianza 1970 na kumaliza 1971HIGH SCHOOL
Degree miaka ya nyuma zilikuwa zinasomwa kwa miaka mingapi? maana yeye alisoma mwaka mmoja tu
Eastern & Southern Africa Management InstituteBA(Mass Communication) alianza mwaka 1982 na kumaliza 1983
NAOMBA WADAU MNISAIDIE TU MIMI NISIYE NA UTAALAMU NA ELIMU YA KALE NIELEWE KUULIZA SI UJINGA.

Parliament of Tanzania

GENERAL
SalutationHonourableMember picture
First Name: Rev. Dr. Getrude
Middle Name:Pangalile
Last Name:Rwakatare
Member Type:Special Seat
Constituent:No Constituency
Political Party:CCM
Office Location:P.O. Box 7545, Dar es salaam
Office Phone: +255 22 2727500/+255 773 464647
Ext.:
Office Fax: +255 22 2775140
Office E-mail: grwakatare@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 31 December 1950
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
International Fund RaisingPhD (Community Development)2009To DatePHD
Moody Bible InstituteMasters in Christian Education19841988MASTERS DEGREE
Vision Inter University-2003To DateGRADUATE
Eastern & Southern Africa Management InstituteBA(Mass Communication)19821983GRADUATE
North London PolytechnicManagement Course19741975DIPLOMA
Korogwe Girls' High SchoolA-Level Education19701971HIGH SCHOOL
Korogwe Girls' High SchoolO-Level Education19661969SECONDARY
Ifakara Girls Primary SchoolPrimary Education19621965PRIMARY
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From To
The Parliament of TanzaniaMember - Special Seat (Kilombero)20082015
St. Mary's International SchoolsManaging Director19952010
East African Harbours AuthoritySenior Personnel Officer19841986
East African Harbours AuthorityPersonnel Officer19721983
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMGuardian - UWT Kilombero19952005
Chama Cha Mapinduzi, CCMMemberTo Date
PUBLICATIONS
DescriptionDate
Dr. Rev. G. Rwakatare: Where will you spend your Eternity, Dar Es Salaam2001
Dr. Rev. G. Rwakatare: Tembe za Ndoa, Dar Es Salaam2004
Dr. Rev. G. Rwakatare: Namna Ya Kuendesha Biashara kwa Faida, Dar Es Salaam1999
Dr. Rev. G. Rwakatare: Niende wapi kwa misaada na mikopo, Dar Es Salaam1984

kuna mambo hapo juu kwenye hii Cv kidogo yananipa shida. naomba wadau mliosoma zamani mnisaidie. je miaka ya nyuma Elimu ya Msingi ilikuwa miaka mi tatu?
huyu mama alisoma Ifakara Girls Primary SchoolPrimary Educationalianza mwaka 1962 na kumaliza 1965.
pia nisaidien je elimu ya sekondari A level ilikuwa mwaka mmoja ?
Korogwe Girls' High SchoolA-Level Education alianza 1970 na kumaliza 1971HIGH SCHOOL
Degree miaka ya nyuma zilikuwa zinasomwa kwa miaka mingapi? maana yeye alisoma mwaka mmoja tu
Eastern & Southern Africa Management InstituteBA(Mass Communication) alianza mwaka 1982 na kumaliza 1983
NAOMBA WADAU MNISAIDIE TU MIMI NISIYE NA UTAALAMU NA ELIMU YA KALE NIELEWE KUULIZA SI UJINGA.
Dogo Shule za zamani zilikuwa ni 4-4-4-2 = 14 years, chuo 3 years. Kwa vile alizaliwa 1950 inaonekana alianza shule akiwa 12 years ambayo kwa msichana I doubt. Lazima alipaswa kusoma primary school std 1-4=4 years, middle school std 5-8=4 years, O level std ix-xii=4 years, A level xiii-xiv=2 years jumla 14 years instead of 10 years anazodai alisoma. Hapo ni uwongo bila kumung'unya maneno. Na chuo ni 3 years. Shule za zamani zilikuwa zinatumia calender years (January to December) kwa hiyo hesabu zake ni sahihi. Nina refrain kusema kama kweli kuna chuo cha miaka 2 labda hivyo vya uchochoroni. Kuhusu PhD huwezi kamwe kujihita Dr. sababu tu unasoma. Hadi uwe admitted to the congregation of a certain year ndipo unakuwa-admitted to the club ndipo unaitwa daktari. She is not a doctor so far. Publications zake ni questionable, kwani hamna publisher wala hadhi ya publishable issue. Sio kila makaratasi yaliyoandikwa maandish ni publication, to be serious hamna publication hapa tena ya daktari. Dr. Rev. deceived us go and repent for God's sake.
 
Hapo kwenye elimu ya msingi, nadhani Mheshimiwa alikuwa na kipaji cha akili kama unavyomuona, kwa hiyo alikuwa akirushwa madarasa. Na kote unakoona kama miaka ilirukwa basi alikuwa akirushwa darasa, ana akili sana huyu mama. Msione vile sauti yake inatoka kwa shida kama chura anakoroma wakati akiongea, ana kipaji kikubwa cha akili.
Ova
 
Haya tena!
Enzi hizo uliweza kuanza shule Januari na kumaliza darasa Novemba-Desemba. Kwa hivyo basi kila mwaka ni kamili.Kwahiyo basi:
1962 - Darasa la 1
1963 - Darasa la 2
1964 - Darasa la 3
1965 - Darasa la 4.
Kwa hivyo utaona mpaka kumaliza High School hakuna tatizo hapo.
Kivumbi kinaanza baada ya hapo sasa. Maana mambo yamekaa kichichimmmm (i.e. credential chakachuation)
Hakuna kitu kinaitwa Univesity of Fundraising wala Fundraising University. Kuna Vision International University huko Florida. Ni chuo cha Kikristu naambiwa. Lakini kwa mtaalamu huyu wa ndoa, ambaye ndoa yake sijui iko katika hali gani, anakosoma PhD miaka yote hii sijui ni wapi? Au taarifa labda hazikutolewa vizuri.
 
Mwanzoni iii CV haina matatizo makubwa sana ila yale ya kuongeza thamani ye elimu. Kutoka Primary hadi kule EASAMI ni sawa ile siyo vizuri kuita checti cha AESAMI wakati huo kuwa ni digrii ya BA. O-level na A level zilikuwa ilikuwa zinaaza January na kuisha December Januray kwa hiyo timeline yake iko sawa kabisa. Baada ya EASAMi hapo ndipo kunaweza kuwa na matatizo.
 
cpendi wakenya wanatudharau for nothing kabisa! japo tuliwasaidia ktk amani eti wanatuita wazee wa "kibakuli"
 
kama uprof wa JK, kwikwikwikwikwiiii

Ule ni honorary na unajulikana na unakubalika duniani. Lakini huo mwingine kama wa Dokta wa Kanoni Slaa, wa kuwa na PhD bila degree hata moja, ndio huo wa kustaajabisha.
 
Ule ni honorary na unajulikana na unakubalika duniani. Lakini huo mwingine kama wa Dokta wa Kanoni Slaa, wa kuwa na PhD bila degree hata moja, ndio huo wa kustaajabisha.

kiimani yake nayo pia inakubalika tu...

These plastic titles hazina exceptions, they are just cr@p
 
MAMA RWAKATARE ANAFUNDISHA NA KUTUNGA VITABU VYA ELIMU YA NDOA WAKATI YEYE MWENYEWE AMEMFUKUZA MUMEWE!!!!!!!!!!!!!!!
HUUU NI USANIII!!!!!!!!!!

Dr. Rev. G. Rwakatare: Where will you spend your Eternity, Dar Es Salaam2001
Dr. Rev. G. Rwakatare: Tembe za Ndoa, Dar Es Salaam
2004
Dr. Rev. G. Rwakatare: Namna Ya Kuendesha Biashara kwa Faida, Dar Es Salaam1999
Dr. Rev. G. Rwakatare: Niende wapi kwa misaada na mikopo, Dar Es Salaam1984
Si nasikia watumishi wana msemo wao kwamba usifuate nifanyayo, fuata nisemayo!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom